Msalani kwa kauli yako inatia wasiwasi kuwa upo kwenye kitengo maalum ndani ya chama chako kinachoratibu kusababisha ajali za wabunge wa cdm,ulimi wako umekuponza mkuu
Katika masuala yanayohusu utu wetu wa Tanzania, kama ulikuwa hujui, tambua toka leo. Katika shida hakuna u CCM wala u CHADEMA. Ukitaka kutambua hilo ombea nchi ivamiwe kwa mfano ndo utajua waTanzania waliachwa vizuri na Mwl.
Ni wana siasa njaa ndo wanaotaka kutugawa kwa misingi wanayoona itawapa mtaji wa kutuibia zaidi.