14 November 2025
Utamaduni huu wa viongozi wa CCM na serikali yao waliopo ngazi za juu katika dola kusema uongo ni hatari kwa mustakhabali wa ustawi wa nchi
View: https://m.youtube.com/watch?v=KS3WRfk9yqw
Godbless Lema anaongeza uongo huo unakwenda hata katika masuala ya kiuovu ya kufanya ukatili dhidi ya raia uzoeleke kwa kutumia uongo ...
Huku ni kujenga kizazi cha taifa kuzoea kusema uongo baada ya kutenda ukatili dhidi ya binadamu, haki ya kuishi, matumizi bora ya maliasili, mgawanyo wa keki ya taifa, kufaulu mitihani ya chuo n.k