Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

Habari wanaJF,

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Ukurasa wake wa Twitter amekandia kitendo cha Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha CHADEMA, Edward Lowassa kufika Ikulu mchana wa leo na kumwaga sifa kwa Serikali ya Awamu ya Tano

''Mh Lowassa umeikosea Tanzania kwa kauli baada ya kutoka Ikulu. Mema yapi umeyaona katika Serikali hii? Wakati Mbunge Lissu bado anauguza majeraha ya risasi, maiti zinaokotwa, Uchumi unaanguka, Benki zinafungwa, Demokrasia imekufa Bungeni/Nje ya Bunge na Sioi mkwe wako bado yuko Magereza''

=====

MY TAKE: Huu ni mpasuko mpya ndani ya CHADEMA!
lema uliwahi kutuaminisha kuwa una maono na huwa unaongea na Mungu anakufunulia ya mbele, vp kuhusu ili hukupata maono mapema kama EL ataenda ikulu????
 
Kuna kikundi kilikuwa kina hoji hv huwez kuunga juhud za mh Rais mpk uhame chama? edo ameunga juhud za rais bila kuhama chama mapovu yanawatoka
 
Habari wanaJF,

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Ukurasa wake wa Twitter amekandia kitendo cha Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha CHADEMA, Edward Lowassa kufika Ikulu mchana wa leo na kumwaga sifa kwa Serikali ya Awamu ya Tano

''Mh Lowassa umeikosea Tanzania kwa kauli baada ya kutoka Ikulu. Mema yapi umeyaona katika Serikali hii? Wakati Mbunge Lissu bado anauguza majeraha ya risasi, maiti zinaokotwa, Uchumi unaanguka, Benki zinafungwa, Demokrasia imekufa Bungeni/Nje ya Bunge na Sioi mkwe wako bado yuko Magereza''

=====

MY TAKE: Huu ni mpasuko mpya ndani ya CHADEMA!
Mdomo ni mzuri sana ukiweza kuutumia vizuri utakupa ndugu,marafiki, Mali na kila kitu ukipendacho.mtu mwenye hekima si mkurupukaji na kila jambo Lina maana katika jicho la tatu.

Lema amekosea sana haifahamu kesho yake,hajui thamani ya ulimi wake hajui anasimamia wapi,hajui politics nin nin?

Siasa si elimu ulionayo kichwani ya degree,masters, PhD Bali ni nidhamu ya kucheza na akil za watu na si kutukana au kumkejeli mtu hapo ndio tunapofeli.
 
Hii ni aibu kwa makamanda maana nilikuwa najua kuwa sisi ndiyo hatuwaelewi kumbe na wenyewe hawajielewi.
Chedema ni chama cha ajabu sana.

Kweli ni heshima kwa mungu kumtukana fisadi Lowasa. Yaani mtu 1 kauli kibao.
 
Lema kwa heri jimbo la Arusha
Mafisiem jimbo hilo linawatoa haja zote
6396cf1d1c1ac27f324f29aaebf87c16.jpg
 
Lowassa hajaikosea Tanzania, labda kamkosea yeye Lema. Ana uhuru wa kutoa maoni yake binafsi. Hajaenda ikulu kuwakilisha Chadema, Lema acha ujinga
 
Habari wanaJF,

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Ukurasa wake wa Twitter amekandia kitendo cha Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha CHADEMA, Edward Lowassa kufika Ikulu mchana wa leo na kumwaga sifa kwa Serikali ya Awamu ya Tano

''Mh Lowassa umeikosea Tanzania kwa kauli baada ya kutoka Ikulu. Mema yapi umeyaona katika Serikali hii? Wakati Mbunge Lissu bado anauguza majeraha ya risasi, maiti zinaokotwa, Uchumi unaanguka, Benki zinafungwa, Demokrasia imekufa Bungeni/Nje ya Bunge na Sioi mkwe wako bado yuko Magereza''

=====

MY TAKE: Huu ni mpasuko mpya ndani ya CHADEMA!

Btw who is Lema katika CHADEMA?
 
na Sioi mkwe wako bado yuko Magereza''
Lema hajui kuwa hiyo inaweza kuwa ndiyo ilikuwa moja ya agenda kuu?, kwa akili yake anafikiri kuwa Lowasa anaona mbali na hayuko tayari kuendelea kuumia pale ambapo anaweza kuondoa maumivu hayo kwake na kwa familia yake?
 
Lowasa hafai kuwa chadema.
Fisadi sehemu yake ni ccm

Wakati Mbowe ana-change gear angani, hilo mlililifuta kabisa na walla hamkufikiria Lowasa ni mwanasiasa na kwenye siasa lolote laweza kutokea. Binadamu huwa tuna tabia ya kutazama tunakokwenda, na kukumbuka tulikotoka.
 
LEMA hana haki yoyote ya kuchangia chochote Kwa sababu mchezo wote unamuhusu yeye na mwenyekiti wake mbowe,Wajitathimini Kwa Sasa ,Hamna haja ya kufanya siasa za maji taka
 
Ila ukweli ubaki kuwa ukweli, lowasa alikwenda Ikulu kwa malengo yake binafsi (personal level/issues) sio kwa ajili ya CDM au Upinzani kwa ujumla, kwa mantiki hiyo :Lowasa sio mtu wa kumwamini tena ndani ya CDM. akwende zake!
 
Wakati Mbowe ana-change gear angani, hilo mlililifuta kabisa na walla hamkufikiria Lowasa ni mwanasiasa na kwenye siasa lolote laweza kutokea. Binadamu huwa tuna tabia ya kutazama tunakokwenda, na kukumbuka tulikotoka.
Fuatilia michango yangu yote humu...sijawahi kumkubali lowasa hata siku moja
 
Wakati Mbowe ana-change gear angani, hilo mlililifuta kabisa na walla hamkufikiria Lowasa ni mwanasiasa na kwenye siasa lolote laweza kutokea. Binadamu huwa tuna tabia ya kutazama tunakokwenda, na kukumbuka tulikotoka.
 
Lowasa alipokuwa CCM alichafuliwa vibaya na CHADEMA, alipohamia CHADEMA wakamsafisha, sasa kwenda kuonana na mkuu wa nchi wanaanza kumchafua tena, lakini baadaye watamsafisha tena, hiyo ndiyo siasa.
 
Marehem alianza kurusha mikono na miguu badae alinyamaza....kilichafuata...chdm by by!!!
 
Habari wanaJF,

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Ukurasa wake wa Twitter amekandia kitendo cha Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha CHADEMA, Edward Lowassa kufika Ikulu mchana wa leo na kumwaga sifa kwa Serikali ya Awamu ya Tano

''Mh Lowassa umeikosea Tanzania kwa kauli baada ya kutoka Ikulu. Mema yapi umeyaona katika Serikali hii? Wakati Mbunge Lissu bado anauguza majeraha ya risasi, maiti zinaokotwa, Uchumi unaanguka, Benki zinafungwa, Demokrasia imekufa Bungeni/Nje ya Bunge na Sioi mkwe wako bado yuko Magereza''

=====

MY TAKE: Huu ni mpasuko mpya ndani ya CHADEMA!
Who is Lissu? Is he greater than Tanzania? Stupid!
 
Back
Top Bottom