Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

Hakika moyo walowasa niwaajabu sana huyu nizaid yatunavomfikiria nimtu mwema asie naubaya namtu asie navinyongo hakika huyu jamaa mtakuja kumkumbuka
 
Habari wanaJF,

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Ukurasa wake wa Twitter amekandia kitendo cha Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha CHADEMA, Edward Lowassa kufika Ikulu mchana wa leo na kumwaga sifa kwa Serikali ya Awamu ya Tano


''Mh Lowassa umeikosea Tanzania kwa kauli baada ya kutoka Ikulu. Mema yapi umeyaona katika Serikali hii? Wakati Mbunge Lissu bado anauguza majeraha ya risasi, maiti zinaokotwa, Uchumi unaanguka, Benki zinafungwa, Demokrasia imekufa Bungeni/Nje ya Bunge na Sioi mkwe wako bado yuko Magereza''

=====

MY TAKE: Huu ni mpasuko mpya ndani ya CHADEMA!
Lema mwenyewe ni Janga na hana haiba ya kiongozi uongozi ni busara ambayo inahusiana pia na kiongozi kuwa na mbinu nyingi za kufikia malengo.
 
2297c6ea32249dc9db808b966754e2af.jpg
 
Zahara Mustafa ·
Secretary at TANESCO
Napenda Rais wetu hana kinyongo na mtu na Lowassa pia mtu mzuri sana vinyongo havitakiwi kabisa na kumpa pongezi anayefanya vizuri ni sahihi kabisa sasa kwa moyo huo Lowassa rudi kwenye chama chako cha CCM kwa moyo mmoja rudi rudi.....
Like · Reply · 6 hrs

Atilio Mbungu
·
Ilula, Iringa, Tanzania
Hakuna siku niliyofurahi kama leo. Nawapongeza wote kwa kufanya hivyo. Mh. Lowassa hana porojo za mtandaoni. Hafanyi appointments za mtandaoni kama wengine. Watu wajifunze namna ya kuomba appointment na viongozi wao. Unapoomba appointment kwenye PRESS maana yake umemdogodesha kiongozi wako mkubwa
Like · Reply · 6 hrs

Kapanya Kitaba
·
Director cum Instructor at College of African Wilderness Experience-"AWE'
Mheshimiwa Waziri Mkuu mstaafu hana kinyongo kabisa pamoja na kutendewa visivyo wakati wa kutafuta jina/ mtu wa kupeperusha bendera kinyang'anyiro cha urais. Alilelewa katika mila na desturi zinazo kataza kabisa kuweka kinyongo moyoni.
Like · Reply · 5 hrs

Baraka Mugisha

Mmm!! Mara Paaa. Karejea alipotoka..
Like · Reply · 5 hrs

Lisah Jamali

NIMEPENDA HICHO KITENDO SIKU MOJA AKIWA BUNGENI ALIWAHI KUSEMA MANENO HAYA HII NCHI YETU SOTE TUKIFANIKIWA TUMEFANIKIWA SOTE TUKIKOSA TUMEKOSA WOTE, HATUNA BUDI KUKAA PAMOJA NA TUKAIJENGA WOTE.PIA NIMPONGEZE MH RAIS KWA KUMKARIBISHA NA KUMTAMBUA KUWA WAZIRI MSTAAFU NA MCHANGO WAKE KATIKA KUJENGA NCHI .MUNGU IBARIKI TANZANISA
Like · Reply · 5 hrs

Godat Nzowa
·
Tycoon Peasant at Tanzania
Hizo ndio siasa tunazozitaka za kutambua kazi ya mtu na utu wa mtu, mngefanya hivyo tangu mwanzo nchi ingekuwa mbaali sana.
Like · Reply · 4 hrs

Thadey Shirima
·
Tumaini University Makumira
Rais...wng kpnz ndo maana kila xku tunakuombea xabbu huna kinyongo na mtu....na hz ndo tunasema siasa pendwa duniani kote...zinazopendwa na wananchi walio ndani ya nchi yako,taifa lako.
Like · Reply · 4 hrs

Loningo Melayeki
·
Institute of Accountancy Arusha
Huu ndio uzalendo, uelewa, ujasiri na ukomavu kisiasa, kifikra n.k. Mtu akifanya vizuri mpongeze, akifanya vibaya mshaauri na kumkosoa ili mambo yaende vizuri. Tanzania ni yetu sote.Hongereni sana waheshimiwa.
Like · Reply · 3 hrs

Omari Rajabu Myanza
·
CBE Dar es Salaam
Alichokifanya Lowassa ni political Diplomacy, anajijengea uhalali wa kuaminika na pande zote mbili bila kuathiri kile anachokiamini. Anazungumzwa kama mwizi, fisadi lakini je mbona kapokelewa kwa bashasha?.
Lowassa amejaribu kuonyesha kuwa siasa sio uadui ni ushindani wa hoja tu na kupongeza pale inapobidi. Kwa upande mwingine anaonyesha namna bora ya kuishi pamoja hata kama hamkubaliani mitizamo yenu kiitikadi, kiimani nk. Ameonyesha njia bora ya kuishi kama taifa moja.
Like · Reply · 3 hrs

Joel Rumanyika
·
ASSISTANT LECTUTER(ICT DEPT) at College of Business Education (CBE)
Hongera Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari John Magufuli kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa, uzalendo na kuwapenda watu wote.Hii imeonyesha kuwa Rais Magufuli ni wa wote,pale unapokutana na mpinzani wako na kushikana mikono kwa Amani.Siasa si uadui, ni mitizamo tu inayotofautisha vyama,lakini mwisho wa siku wote ni watanzania wanaohitaji maendeleo bila ubaguzi.Hongereni sana Mheshimiwa Lowassa na Mheshimiwa Rais,kweli mmetuonyesha ukomavu wa kisiasa.Dumisheni hili tusonge mbele.
MUNGU AWABARIKI WOTE.


Aisee. Kustaafisha akili kwa kiwango cha hawa watu ni kiboko. Mimi siwezi hata nikisema nijilazimishe. Pongezi kwao.
 
Lema mwenyewe ni Janga na hana haiba ya kiongozi uongozi ni busara ambayo inahusiana pia na kiongozi kuwa na mbinu nyingi za kufikia malengo.
Lowassa kagundua kuwa hadhi na heshima aliyojijengea inazidi kubomoka kwa sababu ya walopokaji wa chadema kila kukicha wanatukana mkuu wa nchi. Lakini Lowassa anaheshimu mamlaka. Leo kaamua kuikana chadema ili abaki na usafi wake kama mmkoja wa viongozi wakuu wastaafu.
 
kila siku walikaa kuhubiri siasa sio vita leo mmojawao katekeleza wamemgeuka!!..
Mtapoteana sana
 
trust no body, watanzania ni wanafiki san tatzo, acha tuolew tu mwanaume anauguz majeraha
 
Habari wanaJF,

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Ukurasa wake wa Twitter amekandia kitendo cha Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha CHADEMA, Edward Lowassa kufika Ikulu mchana wa leo na kumwaga sifa kwa Serikali ya Awamu ya Tano


''Mh Lowassa umeikosea Tanzania kwa kauli baada ya kutoka Ikulu. Mema yapi umeyaona katika Serikali hii? Wakati Mbunge Lissu bado anauguza majeraha ya risasi, maiti zinaokotwa, Uchumi unaanguka, Benki zinafungwa, Demokrasia imekufa Bungeni/Nje ya Bunge na Sioi mkwe wako bado yuko Magereza''

=====

MY TAKE: Huu ni mpasuko mpya ndani ya CHADEMA!


Mkuu Chadema ilishakufaga, pale ilipo iko ICU na ndiyo maana Lowassa anaangalia njia ya kurudi. Then again, siasa ni mchezo mchafu, siamini kama Lowassa alikwenda Ikulu kumpeleleza Magufuli. Hako ka Lema kanasema Lissu anauguza majeraha ya risasi mwilini, kwani Lissu kapigwa risasi na CCM? Mbona kuna wengine wanasema Lissu kapigwa risasi na Lema mwenyewe. Tuamini yupi? Mwacheni Lowassa atoe pongezi zake, alishaona alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom