Ok huyu mtaalamu anaweza kupata maelezo ya kisayanasi ya creation of the universe. je anaweza kutupa maelezo ya kisayansi Juu ya creation of Life(Uhai)
Ukweli sayansi haiwezi kueleza majibu ya kila kitu na hivyo hivyo issue ya mungu ni imani. Everything can be challenged because god gave human being brains to do so. Its bcs of those intelligent brains created by the wish of god we can even challenge his/god existance.
- How did a a first organisms/man came into being?
- How the first man/woman came into being
- Why cant human recover life after their brain of heart size to operate?
- how did a first femle or first male came into being?
- What is the original source of life?
Ukweli kwamba sayansi haina majibu ya baadhi ya maswali, ahaumaanishi kwamba majibu yake ni mungu.
Ok unaona kuwa hata sayansi haina majibu yote hivyo hvyo mambo ya mungu ni imani ambayo kwa akili za kisayansi mambo mengine ya uwepo wa mungu hayaelezeki?Mungu kampa binadamu akili ya kuelezea na kufafanua n kivitumia vitu alivyoumba.
Ukweli kwamba hujui unapokwenda, haumaanishi kwamba lazima unapokwenda ni Kariakoo. Ukweli kwamba hujui 10 + 11 = ? Haumaanishi kwamba jibu lake lazima liwe 25. Inabidi unionyeshe kwamba, ingawa mimi sijui ninapokwenda, unaposema kwamba nakwenda Kariakoo umejuaje hivyo, labda umepata kuiona tiketi yangu iliyoandikwa "Pugu Kariakoo" au ushahidi mwingine kama huo (nimeamka tingas mpaka nimesahau kila kitu tuseme). Unaposema kwamba 10 + 11 jibu lake ni 21 na si 25 nategemea unionyeshe kwa kutumia number theory umepataje hilo jibu la 25.
Sasa kama hujui unapokwenda au hujui hesabu huwezi kubisha hata nikikwambia unakwenda Mbagala wala huwezi kuna mansingi wa kubisha hata nikisema 10+11=50. Na kwa msingi huo huo siwezi kukuthibitishia uwepo wa mungumoja kwa moja.Kukuthibitishia uwepo wa mungu nitakuuliza kiini cha uhai ni nini? Rejea maswali yangu hayo ndiyo yananifanya Niamini uwepo wa mungu
Kama unataka kusema kwamba kwa vile sayansi haijui maisha yameanzaje, basi maisha yameanza kwa kuumbwa na mungu, inabidi unionyeshe kwa nini nikuamini. Ama sivyo wewe na mimi wote tutakuwa hatujui, na mimi nitakuwa nina afadhali kwa sababu nishakubali kwamba sijui, ila wewe unayesema kwamba maisha yametoka kwa mungu bila kuweza kunionyesha kivipi utakuwa ni sawa na mtu anayeniambia 10 + 11 = 25 bila kutaka kunionyesha kivipi.
Inabidi uamini uwepo wa mungu sababu hata kisayansi kila kitu kina malezo ya chanzo chake. Mungu kampa bianadamu akili zaidi ya tembo,sungura ndio maana leo hii tunaweza kuelezea theory kama za plate tectonic, magnetism ,solar sysstm, etc lakini maelezo haya yana ukomo. Na ukomo wa maelezo ya kisayansi ndio kiashiria kuwa kuna Nguvu zaidi zinazo control hizi theroy na law tunazosoma
Sayansi mostly imekuwa wazi kabisa kwamba inachojua ni nini na isichojua ni nini.
Hakuna aliyesema sayansi inaweza kueleza majibu ya kila kitu, na huu ndio uzuri wa sayansi. Sayansi ina reason kiasi cha kujua mapungufu yake, kisha inayafanyia kazi mapungufu hayo na pole pole kuyapunguza.Ndiyo maana kila mwaka watu wanakesha kwenye maabara kutafuta mambo mapya, kila mwaka wanapata ma Nobel Prizes. Kanuni ya kwanza ya Sayansi ni kwamba "kuna vitu ambavyo hatuvijui, lakini tunaweza kufanya uchunguzi na kuvujua". Kama sayansi ingekuwa inasema inajua kila kitu ingekuwa dini.
Hii kanuni binafsi inananipa imani zaidi ya uwepo mungu . Kwa akili za kibadamu alizotupa mungu zimezama kwenye physical/ chemical properties and characteristics.Na mungu na uhai ni zaidi ya hivi vitu.Tutamjuaje mungu kisayansi wakati hana physical wala chemical properties. Kwa nini watu wakifa wasirudishiwe uhai ili watu wengi wazidi kuamini kutokuwepo kwa mungu.
Ukisema mungu katupa mbongo, mimi nikakwambia mungu hayupo, utaweza vipi kunipa empirical evidence kwamba mungu yupo na ni yeye aliyetupa mbongo hizi ?
Uwepo wa mungu ni imani kama unavyoamini phsysics chemistry,biology. tofauti iliyopo ni unaweza ku proove kwa sense organ sayansi za kibanadamu. Lakini ukiendelea kudadavua baadhi ya theroy za kisayansi ndo unatakiwa kuelewa kuwa kuna kiiini na chanza hata cha haya maelezo ya kisayansi. Ni mungu.
labda wanasema mungu hayupo watupe empirical evidence kwa kujibu maswali yyangu yale juu. Source ya uhai ni nini?Sorce ya mwanamke/ mwanaume wa kwanza ilikuwa nini?
Usitake ku assume tu kwamba kwa sababu hatuna majibu ya vitu fulani, basi jibu lake ni mungu. Utakuwa kama wale watu wa zamani walioamini kwamba radi ni sauti ya mungu anaongea nao, watu walipokuja kugundua kwamba radi ni umeme kwenye mawingu mungu akakosa kazi moja, pole pole tunavyozidi kuuelewa ulimwengu wetu mungu anakosa kazi, sasa Hawking anatuambia kwamba hata kazi ya kuufanya ulimwengu haikumuhitaji mungu.
Nita assume mungu yupo mpaka pale hayo maswali fulani yatapopatiwa majibu. Ni kama wewe unavyoamini mungu hayupo sababu hakuna physical or chemical evidence.Ukisema imani potofu hata sayansi imekuwa na baadh ya theory potofu kwa kipindi fulani
Hivi tunangoja nini ili kujua kwamba mungu hayupo ? Tungoje mpaka sayansi itakavyolezea kila kitu
Hawking ana challenge uwepo wa mungu from limited scope ndio maana nimesa hata yeye inabidi ajue hiyo akili yake ya kumchanllnge mungu ni sababu yeye ni binadamu na alipewa akili kuliko viumbe wengine.
Similarly, unaweza usijue maisha yalivyoanza, lakini mtu akikwambia yameanzishwa na mungu ukajua kwamba si sawa.
Mbali na kwamba Mungu hajaweza kuttatua tatizo lolote hapa duniani, Mungu ameleta matatizo kibao na naweza kusema Mungu ni mojawapo ya tatizo kubwa la dunia ya leo si kwa sababu yupo, ila kwa sababu hayupo.
Huhitaji kuamini kuwa gravity ipo, utaiona tu. Huhitaji kuamini kuwa dunia inalizunguka jua, n.k. ila ukweli unabaki kuwa hivyo.
mamilioni ya wajasiriamali waliojiajiri katika kuelezea kuwa mungu yupo. Ndo maana wajasiriamali hawa wako tayari kutumia kila mbinu kuhakikisha kuwa watu wanawaamini (including kuua, kutisha, kuharibu, n.k.).
Mbali na kwamba Mungu hajaweza kuttatua tatizo lolote hapa duniani, Mungu ameleta matatizo kibao na naweza kusema Mungu ni mojawapo ya tatizo kubwa la dunia ya leo si kwa sababu yupo, ila kwa sababu hayupo.
Hawking's New Book Does Not Dismiss The Real God From Creation, Jesuit Scholars Say
ROME, ITALY, September 3 (CNA/EWTN News) - Dr. Stephen Hawking's new book, "The Grand Design," makes the bold claim that the universe "created itself from nothing" based on physical laws such as gravity, making God unnecessary for a self-created and self-unfolding model of the universe. However, two Catholic scholars trained in physics say his remarks misconstrue the real relationship between God and creation.
A Jesuit priest and scholar, former president of Gongaza University Fr. Robert Spitzer, says that Hawking's dismissal of God in favor of physics reflects fundamental confusions about the Christian concept of God, as the creator of all that exists-- both the physical universe, and the laws of physics which apply to it.
When this is understood, Fr. Spitzer said, Hawking's basic confusion becomes clear. Although Hawking talks about the universe "creating itself from nothing," he is presupposing that this "nothing" somehow involved gravity and other fundamental laws of physics, Fr. Spitzer explained.
But principles such as gravity are not irreducible or self-evident axioms. Rather, they are non-physical laws which govern the ordinary operations of the physical world. Thus, the Jesuit priest stated, there is no comparison between a creation which unfolds and develops according to laws followed by matter, and Hawking's proposal of "spontaneous creation" from "nothing."
"Let's take the law mentioned by Dr. Hawking above - the law of gravity," Spitzer wrote. "It has a specific constant associated with it and specific characteristics, and it has specific effects on mass-energy and even on space-time itself. This is a very curious definition of 'nothing'."
"Now," he continued, "if we rephrase Dr. Hawking's statement in the above fashion, then he has clearly not explained why there is something rather than nothing. He has only explained that something comes from something," by describing the development of a functioning universe on the basis of laws such as gravity.
Historically, many Christian theologians, as well as non-Christian philosophers, have argued precisely the opposite of Hawking's point: namely, that the laws of physics can only be ascribed to an infinite, intelligent and non-physical creator.
Brother Guy Consolmagno, SJ, an astronomer at the Vatican Observatory, explained to CNA on Friday how the preconditions for the universe's unfolding and operations were not a form of "nothing," as Hawking considers them to be. Rather, he said, they are the conditions created by God for the ordering of the world.
"God is the reason why space and time and the laws of nature can be present for the forces to operate that Stephen Hawking is talking about," he told CNA.
Hawking's dismissal of God, Br. Consolmagno said, was based not only on his incorrect designation of physical laws as "nothing," but also on a failure to grasp the notion of God's transcendence. As such, he concluded, Hawking was really dismissing a kind of "god" in which Christians do not believe.
"The 'god' that Stephen Hawking doesn't believe in, is one I don't believe in either. God is not just another force in the Universe, alongside gravity or electricity. God is not a force to be invoked to . . . 'start a scene or two' and fill the momentary gaps in our knowledge."
Rather, Br. Consolmagno said, "God is the reason why existence itself exists."
This profound mystery, Fr. Spitzer said, was one which Professor Hawking was actually indicating, at the very same time he was attempting to dismiss it.
"In my view," he concluded, "Dr. Hawking has not yet shown the non-necessity of this reality. Indeed, he implies it by assuming the existence of a beginning in his assertion about the universe coming from nothing."
Ok huyu mtaalamu anaweza kupata maelezo ya kisayanasi ya creation of the universe. je anaweza kutupa maelezo ya kisayansi Juu ya creation of Life(Uhai)
- How did a a first organisms/man came into being?
- How the first man/woman came into being
- Why cant human recover life after their brain of heart size to operate?
- how did a first femle or first male came into being?
- What is the original source of life?
Ukweli sayansi haiwezi kueleza majibu ya kila kitu na hivyo hivyo issue ya mungu ni imani. Everything can be challenged because god gave human being brains to do so. Its bcs of those intelligent brains created by the wish of god we can even challenge his/god existance.
Hawking's New Book Does Not Dismiss The Real God From Creation, Jesuit Scholars Say
ROME, ITALY, September 3 (CNA/EWTN News) - Dr. Stephen Hawking's new book, "The Grand Design," makes the bold claim that the universe "created itself from nothing" based on physical laws such as gravity, making God unnecessary for a self-created and self-unfolding model of the universe. However, two Catholic scholars trained in physics say his remarks misconstrue the real relationship between God and creation.
A Jesuit priest and scholar, former president of Gongaza University Fr. Robert Spitzer, says that Hawking's dismissal of God in favor of physics reflects fundamental confusions about the Christian concept of God, as the creator of all that exists-- both the physical universe, and the laws of physics which apply to it.
When this is understood, Fr. Spitzer said, Hawking's basic confusion becomes clear. Although Hawking talks about the universe "creating itself from nothing," he is presupposing that this "nothing" somehow involved gravity and other fundamental laws of physics, Fr. Spitzer explained.
But principles such as gravity are not irreducible or self-evident axioms. Rather, they are non-physical laws which govern the ordinary operations of the physical world. Thus, the Jesuit priest stated, there is no comparison between a creation which unfolds and develops according to laws followed by matter, and Hawking's proposal of "spontaneous creation" from "nothing."
"Let's take the law mentioned by Dr. Hawking above - the law of gravity," Spitzer wrote. "It has a specific constant associated with it and specific characteristics, and it has specific effects on mass-energy and even on space-time itself. This is a very curious definition of 'nothing'."
"Now," he continued, "if we rephrase Dr. Hawking's statement in the above fashion, then he has clearly not explained why there is something rather than nothing. He has only explained that something comes from something," by describing the development of a functioning universe on the basis of laws such as gravity.
Historically, many Christian theologians, as well as non-Christian philosophers, have argued precisely the opposite of Hawking's point: namely, that the laws of physics can only be ascribed to an infinite, intelligent and non-physical creator.
Brother Guy Consolmagno, SJ, an astronomer at the Vatican Observatory, explained to CNA on Friday how the preconditions for the universe's unfolding and operations were not a form of "nothing," as Hawking considers them to be. Rather, he said, they are the conditions created by God for the ordering of the world.
"God is the reason why space and time and the laws of nature can be present for the forces to operate that Stephen Hawking is talking about," he told CNA.
Hawking's dismissal of God, Br. Consolmagno said, was based not only on his incorrect designation of physical laws as "nothing," but also on a failure to grasp the notion of God's transcendence. As such, he concluded, Hawking was really dismissing a kind of "god" in which Christians do not believe.
"The 'god' that Stephen Hawking doesn't believe in, is one I don't believe in either. God is not just another force in the Universe, alongside gravity or electricity. God is not a force to be invoked to . . . 'start a scene or two' and fill the momentary gaps in our knowledge."
Rather, Br. Consolmagno said, "God is the reason why existence itself exists."
This profound mystery, Fr. Spitzer said, was one which Professor Hawking was actually indicating, at the very same time he was attempting to dismiss it.
"In my view," he concluded, "Dr. Hawking has not yet shown the non-necessity of this reality. Indeed, he implies it by assuming the existence of a beginning in his assertion about the universe coming from nothing."
He has a point, the theory of God is just too frivolous to be considered feasible in the creation of the whole universe, I never understand why people (especially people in the third world such as Africa) insist on believing in God, the religion of this so called God wasn't even yours (Africans) to begin with and the people who brought this ass of a God are now becoming secular, they are discarding him/her as the rubbish that he/she is, I can't understand why it's so hard for you people to embrace FREE THINKING .:smile-big:
Uzuri wa kufuru hii, ni kwamba mungu anatakiwa kuwa ndiye muweza wa yote. Na kama kweli mungu ni muweza wa yote, na aliyetupa yote, hata hiyo akili inayokusababishia kukufuru kakupa yeye.
Kwa hiyo kama kuna the slightest chance ya kwamba mungu yupo na takuuliza kwa nini ulinikufuru, jibu lake ni rahisi tu, kwa sababu hukunipa imani ya kutosha kukuamini mungu, huwezi kunilaumu.
Classical Bertrand Russell solution.
Una maswali ya msingi sana ila siyo kwamba hayajibiki yote yanajibika. Nitajitahidi nitafute muda kidogo nikupatie majibu.Kwa hiyo hata hiyo akili ya kuamini kwamba mungu yupo ni ujinga?
Kama mwisho wa yote ni kaburi kwa hiyo hizi habari za pepo na moto ni kamba tu, au siyo? Umesema mwenyewe mwisho wa yote ni kaburi.
Unajuaje kwamba ni siri ya uungu ? Kwa nini isiwe kwamba kifo ni matokeo ya kukongoroka kwa mwili kwa mujibu wa kanuni za sayansi, kama vile mashine inavyoharibika na kuacha kufanya kazi?
Hizi habari za mythology unaziamini wewe? Kwamba binadamu alianzia katika bustani ya Edeni? Kwamba kulikuwa na Adamu na Hawa, unaamini hizi habari? Kama mungu ni muweza yote, kwa nini aliwawezesha binadamu kuwa na utashi wa kutaka kujua kama yeye? Na usinijibu kwamba mungu hakuwawezesha ila binadamu waliamua kwa utashi wao kushawishiwa na shetani, kwa nini mungu alimuumba shetani? Kwa nini mungu aliumba utashi unaoweza kukubali mabaya? Ina maana mungu alibariki mabaya ? Aliumba ulimwengu wenye uwezekano wa kufanyika mabaya? Je ilikuwa lazima kwake kuumba ulimwengu unaowezekana mabaya au haikuwa lazima, aliumba hivyo kwa kutaka tu ?
Na usiniambie kabisa kwamba mungu aliumba mabaya lakini akatupa uwezo wa kutambua mema na mabaya.
Wewe unaweza kumuwekea mtoto mdogo chupa ya maziwa safi na chupa ya sumu, kisa eti umpe uchaguzi wa kufanya atakacho? Sisi binadamu tulioumbwa na utashi tusioweza kuuzuia ni kama watoto wadogo walio na uelewa mdogo wanaopewa uchaguzi wa kuchagua maziwa au sumu, baba atakayefanya hivi atahukumiwa kuwa muuaji, sasa huyu mungu mungu gani asiyeweza kupita standards za kibinadamu tu ?
Mateso zaidi unajipa mwenyewe kwa kuamini vitu visivyopo.
Kama unajua mwisho wake ni kaburi utamteteaje mungu anayetuambia kuna hukumu, mbingu na pepo baada ya kaburi ?
Umejuaje? Utalazimishaje by fiat mungu awepo? Na mimi nikikwambia in all we see hear and touch there is St. Claus, utakataaje ?
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakuja kuwepo. Hata ukibisha kwa hoja ya nguvu na bila kutumia nguvu ya hoja.
Kama mungu mwenye uwezo wote yupo kwa nini kaua vitoto masikini na visivyo hatia huko Haiti, wakati mafisadi wanapeta tu ?
Kama mungu mwenye uwezo wote ndiye aliyeumba ulimwengu wenye maovu kama huu, tungeweza kumkamata tungemshitaki kwa mauaji ya genocide sawa sawa na wauaji wengine tu. Ukiwa na uwezo kuzuia maafa usipozuia ni muuaji tu, kwa nini mungu anaruhusu maafa ? Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na watu wasioamini kwamba kuna mungu ?
Reading is fundamental. I've got no time to write a whole essay for you but i suggest you try reading some books. Start with Darwins "The Origin of Species"
Science might not have all the answers but there is plenty of evidence to back up the theories and it makes a hell of a lot more sense than Adam and Eve.
Wewe hata hujui Hawking kasema nini masikini.
usionee huruma na kuniacha gizani nieleweshe kama unadhani sijui kasema nini. Nilichoolea huyu mtaalamu anasema God did not ceate the universe.Ndio nikasema amechukua scope ndogo ya universe tu. Kwa nini hajachukua Scope of life.? na bado hata akiingia ndani kwenye universe kuna majibu bado hayako wazi.
Kama sijamuelewa ebu nieleweshe.