Gobachev: Mkombozi au msaliti?

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
MOSCOW - The last Soviet leader Mikhail Gorbachev turns 80 on Wednesday, sidelined from Russian politics and bitter over the direction his country took after he triggered the collapse of the Soviet Union.
Feted in the West as a champion of democracy but remembered bitterly by many Russians as the man who destroyed a once great empire, Gorbachev is expected to see only muted celebrations of his anniversary across the lands he once ruled.
source: Jordan news

Aliyekuwa Rais wa Urus ya zamani Mikhail Gobachev anatimiza miaka 80 jana. Mjadala umeibuka upya kuwa huyu bwana ni MKOMBOZI wa Dunia mpya lakini kwa Warusi wanamwona kama ni MSALITI MKUBWA! Wewe unamwonaje? Anamchango gani kwa dunia ya leo?
 

Kwa Wajamaa wengi tulimuona msaliti (wakati huo), lakini kwa hali halisi ya mambo leo, Gobachev ni hero wetu maana mambo mazuri yamekuja baada ya mageuzi yake.
 
Back
Top Bottom