Mabinti wazuri kwelii,sasa huyu jumla ameshakua na wanawake wangapi sasa,???

Halafu hao wote ni bikra. Sio bikra ya sabuni anazouza Maimatha,ni ile bikra original!

Bora huyu anaoa kabisa, kuna mzee mmoja yeye haoi, na anachukua wake za watu tu!

Kwahiyo Ina maana mabinti wote huko ni mabikra? Na wanasubiri kuolewa na King?