Yaani Mkuu una maanisha turudie kuwa majani au? Mi nadhani wanaopandisha bei za umeme na mafuta hiyo picha inawahusu maana umeme na wese ndo moyo wa uchumi,vikiwa bei nafuu manake viwanda vitakua na bidhaa zitashuka bei na automatically ugumu wa maisha utapungua na usafiri na usafirisha utakuwa nafuu.