GNLD:Je Inakutoa Kimaisha? Vp Uhusiano Na Freemasonry?

GNLD:Je Inakutoa Kimaisha? Vp Uhusiano Na Freemasonry?

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
480
Reaction score
128
Golden Neo Life Diamate Intl. ni taasisi inayojishughulisha kimataifa na uuzaji wa virutubisho vya mwili (nutrients) na dawa zingine za lishe, sabuni, mafuta nk.


Naweza kusema mtindo wa biashara yao unafanana kidogo na iliyokuwa DESI ile ya hela kupanda mbegu. Kwa wanaoijua vizuri hii kampuni naomba mnijibu yafuatayo:


1) Hivi hii sio changa la macho? Je kuna watu imewatoa kimaisha walete hapa ushuhuda maana tunatafuta ajira.
2) Kuna tetesi za kuhusishwa na freemason, ni kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom