Gmail

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,797
28,460
Wadau habari zenu,nina tatizo nikimtumia mtu mail k2mia accnt yngu ya gmail nikiwa nime attach document inakuwa ina fail kupokelewa.mfano kama nina m2me m2 ambaye yupo orgnztn fulan inarudi message ya kumpuni husika yan postmaster wa kampuni hyo .hili tatizo husababishwa na nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom