Wewe mwenyewe unaweza kujisaidia sisi hatujui ulijaza nini wakati unafungua hiyo e-mail,hukuweka alternative e-mail address?Weka e-mail yako weka password yeyote,ikikugomea click 'need help' then fuata maelekezo,kama ulijaza namba ya simu inawezekana wakakutumia huko au kwenye alternative e-mail yako.Hayo yakishindikana unaweza jikuta unafungua mpya.Uko mkoa gani?