Gloves ngumu za kutumia bakery

Gloves ngumu za kutumia bakery

cheseo

Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
80
Reaction score
21
Wadau kwa heshima na taadhima natafuta gloves ndefu za kushikia vitu vya moto katika bakery yangu, anaejua pa kuzipata au alie nazo awasiliane na mimi kwenye namba 0683370065 au 0769129351.
Asanteni sana
 
Mkuu kama uko dar nenda pale sinza kumekucha, kuna kampuni inaitwa pincipal inatazamana na geti la kanisa la KKKT,wanazo watakuuzia. Oven Gloves Tshs 35,400
 
Aisee asante sana mkuu kwa msaada, ntafanya hivyo, shukrani sana!!
 
Back
Top Bottom