Sabaya atakula matunda ya ujinga wa kumuabudu jiwe na alivyokuwa zoba wala hajutii makosa yake bado anajiona yeye ni special kama alivyoaminishwa na mungu wake jiwe.
Leo ndio nimeona wanamuandalia maneno kabisa ya kabisa ya kujichomoa na hii kesi. Eti jana alivyosema hamjui mkuu wa mkoa aliemuapitisha,leo wamerudia ili alisahihishe hiyo nafasi.