Kwa hiyo nadhani kwanza inabidi tuelimishane ni oportunities gani zipo ili zifanyiwe hiyo homework . Zaidi ya hapo tutabaki na viopportunity vya internet cafe na zile za kutufanya sisi kuwa wateja wao tu.
Oportunity zipo nyingi kwamfano ku solve captcha manually ni moja ya business kubwa sana huko India na success rate yake ni zaidi ya 98% tofauti na optical character recognition software (OCR) ambazo success rate ni chini ya 48%. Mchezo wenyewe uko hivi, Kuna watu wengi wana run online business umagharibini na katika shughuli zao wanahitaji ku-register account nyingi kwa mfano yahoo email. Tatizo ni kwamba kabla ya kutengeneza account ni lazima u-solve captcha. Sasa kama mtu anahitaji kuwa na 10000 account hawezi kufanya hivyo manually, inabidi atumie program.
Tatizo linakuja kuwa ni vigumu kuread image (captcha) programatically kwa kutumia OCR kwasababu kampuni nyingi kama google huwa zinaweka noise kubwa kwenye image na japokuwa unaweza kutengeneza neural network (algo) ku solve captcha progamatically gharama ya kumaitani hiyo algo ni kubwa sana kwasababu yahoo (kwa mfano) huwa wanabadilisha noise kwenye captcha mara kwa mara kwahiyo success rate inakuwa ndogo sana.
Sasa watu wakaja na hii kitu ya kutumia binadamu (wahindi) ili ku solve captcha (1000 attempts for $2) kitu ambacho kwa wanagharibi ni utumwa falani hivi na unaweza kushitakiwa kumfanyisha kazi mtu kwa rate hiyo lakini kwa wahidi hilo ni dili. kwahiyo mtu anatengeneza script (mimi binafsi nimetenegeza nyingi za namna hiyo) ambayo wakati ina parse html text, ililuta kuna captcha (image url) ina download image na kuipeleka India.
Jamaa, captcha breakers, wana solve manually halafu software yao ina return results kwenye script yako through http response kama text (it takes less than 10 seconds) na yenyewe inaendelea na shuguli yake. Mfano wa serveice ambayo nimeitumia ni
decaptcher
Hii ni moja ya fuction ambayo hutumia kusend captcha, decaptcher, ili wanisovie
PHP:
Function RecogniseCaptcha ($username, $password, $filename){
$postData = array();
$postData[ 'function' ] = "picture2";
$postData[ 'username' ] = "$username";
$postData[ 'password' ] = "$password";
$postData[ 'pict_to' ] = "0";
$postData[ 'pict_type' ] = "0";
$postData[ 'pict' ] = '@'.realpath("$filename");
$postData[ 'submit' ] = "Send";
$data = curlypost ("http://poster.decaptcher.com/", $postData);
$pieces = explode ("|", $data);
if ( is_file ( 'C:\cookie\co.txt' ) ) {
unlink ( 'C:\cookie\co.txt' );
}
return $pieces [5];
}
Hii business ya captcha breaking ni very lucrative kwasababu spammers wengi sana wanahitaji ku break captcha ili kusend spam email. Kwa siku kampuni hizi huwa zina break captcha zaidi ya millioni mbili (revenue ni $4000 per day) na gharama ya kuendesha hizi center ni chini ya $100 kwa siku. Hiyo ni opportunity nyingine inayoweza kuwa implemented bongo ila naelewa siyo hela yaajabu kiivyo lakini mtu anaweza anzisha iliapate baadae apate mtaji wa kifisadi
🙂 .
Mon ami Mtazamaji, umedokeza jambo zuri sana na opportunity zipo nyingi hiyo ni moja tuu iliyokuja off the bat.