Global recession around the world

Global recession around the world

Solaris

Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
9
Reaction score
0
Kutokana na global recession inayoendelea kote duniani sasa hivi kuna tetesi kwamba jumamosi inaweza kuhalalishwa kama siku ya kazi ili kuongeza production je kwa wataalamu wa mambo ya uchumi hii kitu iko applicable? na je inaweza kusaidia au ndio mambo yatakuwa magumu zaidi?

Nawasilisha
 
Hivi tatizo ni production au pesa? Tunaambiwa watu hawana pesa za kununua bidhaa kutoka viwandani (kama magari, mitambo nk), sasa kama production itaongezeka sioni kama tatizo litaondoka. Labda wachumi watusaidie kuelewa.
 
Kutokana na global recession inayoendelea kote duniani sasa hivi kuna tetesi kwamba jumamosi inaweza kuhalalishwa kama siku ya kazi ili kuongeza production je kwa wataalamu wa mambo ya uchumi hii kitu iko applicable? na je inaweza kusaidia au ndio mambo yatakuwa magumu zaidi?

Nawasilisha

Well, good question. My opinion, human being is also a social being. As a social being leisure time is very important for his/her productivity in work time. Their some evidence that those who constrain their leisure/social time are not as productive as those who value social time. I think the two days rest a week are not much, to impact production efficient. Nevertheless, as pointed by other commentators above, the current recession is not due to poor productivity.
 
Unabii lazima utimie! Vitapanda vitashuka, mwenye kusoma na ayafahamu hayo.
 
Back
Top Bottom