Global publishers - utapeli ??

Kama kweli unalipa sh 500 ili usome magazeti ya aina hiyo wacha yakupate. Huna maana
 
Kama wewe ni JF Member na bado unasoma MAGAZETI YA UDAKU basi ujue
"YOUR RUBISH IN A RUBISH PIT"
Hiyo hela katoe SADAKA

"YOUR RUBISH IN A RUBISH PIT" tehe tehe tehe tehe
 

hata mm yamenikuta, wanatakiwa watoe ufafanuzi. Nililipa kwa tigo pesa
 
Kama kweli unalipa sh 500 ili usome magazeti ya aina hiyo wacha yakupate. Huna maana
Aina ya gazeti analosoma mtu inategemea tu mtu anataka kupata habari za aina gani. Sasa si unazozipenda wewe tu kila mtu azipende. By the way utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu
 
Street University !

Elimu ya kitaa,wajinga ndio waliwao kekundu kekunduuuuuu...Alitokea jamaa m1 kutoka JF alitamani kusoma magazeti ya rangi rangi basi ikabidi alipie online jeferoo shigongo akilila kekundu kekunduuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…