Timm Wu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 505
- 1,360
Afrika ina viongozi wengi wakora lkn wengine wanasaidiwa na kuijua kwao dunia - mtu kama Paul Kagame ni kiongozi jeuri kweli(waweza kumwita katili) - lkn ni "GLOBAL CITIZEN". He is always in the forefront of big international events, wakati mwingi akifanya interviews zenye maswali magumu kwelikweli kutoka kwa akina BBC, CNN na Al Jazeera - lkn hakasiriki wala hajifichi. Na wakati mwingine akishiriki mijadala au kutoa mihadhara vyuo vikuu vya Marekani kama Havard - na huyu ni mtu ambaye tunaambiwa eti "hakwenda shule"...
Sasa linganisha na wale viongozi Lissu anawaita "Sons of the Soil" na ma- PhD yao - mtu hata interview Channel 10 au TBC hawezi kufanya, mtu hawezi kujibu hata swali la Cyprian Musiba au Pascal Mayalla - sasa huyu watu wakitumia udhaifu wake huo kumpiga kimataifa analalamika nini?
Kweli Tanzania tuliingia chaka kweli kweli 2015 - Kristo aturehemu!
Mcheki hapa Paul Kagame akipiga "pindi" huko Harvard