GLOBAL CASH Credit & Loans ni matapeli?

GLOBAL CASH Credit & Loans ni matapeli?

Wamefoji hata cheti cha Usajili Brela.. Ukiangalia wamefuta jina la hio Cheti wakaandika la kwao... Duh wahuni kabisa
 
Iv amna uwezekano wa kufikisha haya tra na tcra wafanye ufatiliaj
Wamefoji hata cheti cha Usajili Brela.. Ukiangalia wamefuta jina la hio Cheti wakaandika la kwao... Duh wahuni kabisa
 
Jaman hu ni wizi mpya kabisa umeingia na una trend sana uko wasap wanajifanya ni biashara halali na imesajiliwa na tra ili ukweli ni kua kila kitu wamefoji na lengo kuu ni kuwaibia watanzania...

Naeza toa ufafanuzi na kujibu maswali yote nitakayoulizwaView attachment 958210View attachment 958211View attachment 958212

Danganya toto yao nyingine hii

*JE UMEKUWA UKIHITAJI MKOPO KWA MUDA MREFU LAKINI HUJUI PAKUANZIA?*

*karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana*

*KAMPUNI YA UWEKEZAJI NA MIKOPO "GLOBAL CASH INVESTMENT TANZANIA"*

Ni taasisi ya kifedha inayohusika na utoaji mikopo nafuu isiyokua na riba kupitia mfuko maalum uitwao GLOBAL CASH Credit & Loans kwa dhumuni la kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakubwa nchini Tanzania kwa kuwapatia mikopo ya pesa kwa lengo la kuwainua kiuchumi
na kuwaletea maendeleo ili waweze kujikwamua kimaisha kwa dhana yakinifu kutaka kutokomeza umasikini.

Kampuni ya GLOBAL CASH INVESTMENT & LOANS imeanza hatua za kutaka kusambaza
matawi yake mikoa yote nchini Tanzania ili kila mtanzania aweze kupata huduma za mikopo kwa ukaribu.
Kwa sasa kampuni ya GLOBAL CASH INVESTMENT ina ofsi moja ambayo ndio makao makuu ya kampuni hii.

*MTANZANIA ATAWEZAJE KUPATA MKOPO?*

Mikopo inatolewa kwa kila mtanzania bila ya kuwepo na
ubaguzi wa aina yoyote. Huduma zetu ni stahiki kwa
kila mtanzania ambae ni mjasiriamali, mtumishi wa serikali au mfanyakazi wa kampuni binafsi, wote wanastahili kujiunga na kuwa
washirika wetu na
tutawapatia mikopo.
Wakati tukiwa katika
maandalizi ya kusambaza matawi yetu katika mikoa mbalimbali, inamlazimu mteja wetu ambae atahitaji mkopo
kuweza kujiunga kwa kujaza fomu ya maombi ya mkopo ambayo ataipata kwa kutumiwa na afsa mawasiliano wa kampuni kwa njia ya email au kwa njia ya WhatsApp.
Baada ya mteja kulipia ada ya usajili, kulingana na kiasi cha mkopo atakacho hitaji, ndipo atatumiwa form ambayo atajaza maelezo yake binafsi ndani ya form hiyo, kisha atairejesha kwetu na baada ya hapo maombi ya mkopo wake yataidhinishwa na atapatiwa mkopo wake wa pesa aliyo omba ndani ya masaa 3 tu baada ya kurejesha form yake.

*SIFA ZA MWOMBAJI.*

Sifa kuu za mwombaji anaetaka kuomba mkopo ni kama zifuatazo:-

(i) *UWE MWAMINIFU*

(ii) *UWE NA AKILI TIMAMU*

(iii) *UWE NA UMRI KUANZIA MIAKA 18 AU ZAIDI*

(iv) *UWE NI MTANZANIA*

(v) *UWE UMEWEKEZA GLOBAL CASH*

(vi) *UWE NA KITAMBULISHO*
*KIMOJA WAPO KATI YA HIVI*

MPIGA KURA, KITAMBULISHO CHA KAZI, CHUO, LESENI YA BIASHARA, LESENI YA DREVA, KITAMBULISHO CHA TAIFA au PASSPORT YA KUSAFIRIA

*KWANINI* *TUNATOA MIKOPO*
*NAFUU YENYE* *MASHARTI RAHISI?*

Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini kampuni ya GLOBAL CASH INVESTMENT AND LOANS inatoa mikopo kwa
watanzania yenye masharti rahisi sana tofauti na asasi
zingine walizozizoea kama bank na nyinginezo!
Sababu kuu ya kuweka masharti rahisi ni kutaka kumsaidia kila mtanzania kuweza kupata mikopo bila kumuwekea vikwazo vigumu ambavyo vitakatisha ndoto zake na kumfanya awe dhaifu katika maendeleo yake kwa kukosa mkopo kutokana na vigezo
vyetu kua vigumu kwa maana dhamira yetu kuu ni kutaka
kumsaidia kila mtanzania, hivyo hakuna sababu
yakuweka ugumu wa upatikanaji wa mikopo.

*KWANINI TUNATOA MIKOPO*
*ISIYOKUA NA RIBA?*

Mikopo hii haina riba kutokana na faida kuu mbili tuzipatazo

1. kutoka katika kampuni za simu pindi mteja anapojaza fomu na
kulipia ada kwa tigopesa au m-pesa kuna asilimia
zinazoingia katika kampuni yetu kupitia mitandao hiyo.

2. Ada zinazolipiwa na wateja wetu baada ya kujaza fomu zinaingia katika mfuko wa GLOBALCASH credit & Loan, hivyo tunafaidika kwa asilimia kubwa sana, kipato kinajitosheleza bila kuchukua riba.

*MTEJA ATAUPOKEA MKOPO*
*WAKE KWA MUDA GANI?*

BAADA YA KULIPA ADA NA KUJAZA FOMU .
Mikopo yetu haicheleweshwi
kwa mteja wetu atakae timiza vigezo na masharti atapatiwa mkopo wake ndani masaa 3 baada ya kujaza form na kuirejesha kwetu.

*MTEJA ANARUHUSIWA KUKOPA KUANZIA SHILINGI NGAPI?*

Mteja anaruhusiwa kuomba mkopo kuanzia (MILLION MOJA ) 1,000,000 Hadi Tshs. 50,000,000 (MILLION 50)

*MTEJA ATAPOKEA VIPI MKOPO WAKE BAADA YA KUJAZA FOMU NA KULIPIA ADA?*

Mteja atatakiwa kujaza namba ya M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money.
Mara baada ya
mteja kujaza fomu na kuituma na kulipia ada, atapewa taarifa za kuthibitisha kupokea fomu yake pamoja na pesa ya usajili, kisha atasubiri kupatiwa mkopo ndani ya masaa 3.

*Tumeanzisha utaratibu huu wa*
*kujaza form kwa njia ya mtandao* *kulingana na sababu* *kubwa ya upungufu au ukosefu wa* *matawi yetu kutoenea katika mikoa yote Tanzania hivyo* *tumemrahisishia kila* *mtanzania ambae* *yupo mkoani na anahitaji kupata mkopo*

*KIASI CHA MKOPO, ADA NA MUDA WA MAREJESHO*

1. MKOPO WA MILLION MOJA, (1,000,000) ADA YAKE NI TSH LAKIMBILI NA NUSU (250000) UNACHUKUA MIEZI MINNE AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA TSH. LAKIMBILI NA NUSU ( 250000) BILA RIBA.

2. MKOPO WA MILLION MBILI (2,000,000) ADA YAKE NI (350000) UNACHUKUA MIEZI SITA AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA SH. LAKITATU NA NUSU (350000) NA MWEZI ULE WA MWISHO UTATEJESHA (250000) BADALA YA 350000

3. MKOPO WA MILLION TATU ADA YAKE NI TSH. LAKI TATU NA ELFU SABINI NA TANO (375000) UNACHUKUA MIEZI NANE AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA TSH. LAKI TATU NA ELFU SABINI NA TANO (375000)

4. MKOPO WA MILLION NNE (4,000,000) ADA YAKE NI LAKI NNE (400000) UNACHUKUA MIEZI KUMI AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA LAKI NNE (400,000)

5. MKOPO WA MILLION TANO (5,000,000) ADA YAKE NI TSH. LAKI NNE NA NUSU (450000) UNACHUKUA MIEZI KUMI NA MBILI AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA TSH. LAKI NNE NA ELFU KUMI NA SABA (417000)

6. MKOPO WA MILLION SITA (6,000,000) ADA YAKE NI (500000) UNACHUKUA MIEZI KUMI NA NNE AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA TSH. LAKI NNE NA ELFU ISHIRINI NA TISA (429000)

7. MKOPO WA MILLION SABA (7,000,000) ADA YAKE NI (550000) UNACHUKUA MIEZI KUMI NA SITA AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA LAKI NNE NA ELFU SERASINI NA SABA NA MIA TANO (437500)

8. MKOPO WA MILLION NANE (8,000,000) ADA YAKE NI (600000) UNACHUKUA MIEZI KUMI NA NANE AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA TSH. LAKI NNE NA ELFU AROBAINI NA TANO (445000)

9. MKOPO WA MILLION TISA (9,000,000) ADA YAKE NI (750000) UNACHUKUA MIEZI ISHIRINI AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA TSH LAKI NNE NA NUSU (450000)

10. MKOPO WA MILLIONI KUMI (10,000,000) ADA YAKE NI TSH MILLION MOJA LAKIMBILI NA NUSU (1250000) UNACHUKUA MIEZI ISHIRINI NA MBILI AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA ELFU TSH LAKI NNE NA ELFU HAMSINI NA TANO (455000)

*LAKINI PIA MTEJA UNARUHUSIWA KULIPA NA KUMALIZA DENI LAKO KWA MUDA WOWOTE ULIO NDANI YA MKATABA NA SIO NJE YA MKATABA*

ENDAPO UTASHINDWA KULIPA DENI, AU KUCHELEWA KULIPA PASIPO KUTOA TAARIFA, HATUA KALI ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA IKIWEMO KUKAMATWA WEWE PAMOJA NA WADHAMINI WAKO WATANO, KUFILISIWA MALI ZAKO NA KUSHITAKIWA MAHAKANI KWA KOSA LA KUWA MDAIWA SUGU

*KARIBU SASA* *UPATE MKOPO WA* *HARAKA NA* *NAFUU*

Namna ya kupata fomu ya mkopo njoo inbox kwangu (Afsa mawasiliano wa Kampuni ya GLOBAL CASH INVESTMENT & LOANS ) ukiwa na ada yako ili nikupe form ya kuombea mkopo,
ijaze fomu yote kisha itume
kwetu *kupitia WhatsApp namba hii*
*nyote mnakaribishwa*

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]*JE UMEKUWA UKIHITAJI MKOPO KWA MUDA MREFU LAKINI HUJUI PAKUANZIA?*

*karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana*

*KAMPUNI YA UWEKEZAJI NA MIKOPO "GLOBAL CASH INVESTMENT TANZANIA"*

Ni taasisi ya kifedha inayohusika na utoaji mikopo nafuu isiyokua na riba kupitia mfuko maalum uitwao GLOBAL CASH Credit & Loans kwa dhumuni la kuwawezesha wajasiriamali wjbbkubwa nchini Tanzania kwa kuwapatia kubwao ya pesa kwa lengo la kuwainua kiuchumi
na kuwaletea maendeleo ili waweze kujikwamua kimaisha kwa dhana yakinifu kutaka kutokomeza umasikini.

Kampuni ya GLOBAL CASH INVESTMENT & LOANS imeanza hatua za kutaka kusambaza
matawi yake mikoa yote nchini Tanzania ili kila mtanzania aweze kupata huduma za mikopo kwa ukaribu.
Kwa sasa kampuni ya GLOBAL CASH INVESTMENT ina ofsi moja ambayo ndio makao makuu ya kampuni hii.

*MTANZANIA ATAWEZAJE KUPATA MKOPO?*

Mikopo inatolewa kwa kila mtanzania bila ya kuwepo na
ubaguzi wa aina yoyote. Huduma zetu ni stahiki kwa
kila mtanzania ambae ni mjasiriamali, mtumishi wa serikali au mfanyakazi wa kampuni binafsi, wote wanastahili kujiunga na kuwa
washirika wetu na
tutawapatia mikopo.
Wakati tukiwa katika
maandalizi ya kusambaza matawi yetu katika mikoa mbalimbali, inamlazimu mteja wetu ambae atahitaji mkopo
kuweza kujiunga kwa kujaza fomu ya maombi ya mkopo ambayo ataipata kwa kutumiwa na afsa mawasiliano wa kampuni kwa njia ya email au kwa njia ya WhatsApp.
Baada ya mteja kulipia ada ya usajili, kulingana na kiasi cha mkopo atakacho hitaji, ndipo atatumiwa form ambayo atajaza maelezo yake binafsi ndani ya form hiyo, kisha atairejesha kwetu na baada ya hapo maombi ya mkopo wake yataidhinishwa na atapatiwa mkopo wake wa pesa aliyo omba ndani ya masaa 12 tu baada ya kurejesha form yake.

*SIFA ZA MWOMBAJI.*

Sifa kuu za mwombaji anaetaka kuomba mkopo ni kama zifuatazo:-

(i) *UWE MWAMINIFU*

(ii) *UWE NA AKILI TIMAMU*

(iii) *UWE NA UMRI KUANZIA MIAKA 18 AU ZAIDI*

(iv) *UWE NI MTANZANIA*

(v) *UWE UMEWEKEZA GLOBAL CASH*

(vi) *UWE NA KITAMBULISHO*
*KIMOJA WAPO KATI YA HIVI*

MPIGA KURA, KITAMBULISHO CHA KAZI, CHUO, LESENI YA BIASHARA, LESENI YA DREVA, KITAMBULISHO CHA TAIFA au PASSPORT YA KUSAFIRIA

*KWANINI* *TUNATOA MIKOPO*
*NAFUU YENYE* *MASHARTI RAHISI?*

Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini kampuni ya GLOBAL CASH INVESTMENT AND LOANS inatoa mikopo kwa
watanzania yenye masharti rahisi sana tofauti na asasi
zingine walizozizoea kama bank na nyinginezo!
Sababu kuu ya kuweka masharti rahisi ni kutaka kumsaidia kila mtanzania kuweza kupata mikopo bila kumuwekea vikwazo vigumu ambavyo vitakatisha ndoto zake na kumfanya awe dhaifu katika maendeleo yake kwa kukosa mkopo kutokana na vigezo
vyetu kua vigumu kwa maana dhamira yetu kuu ni kutaka
kumsaidia kila mtanzania, hivyo hakuna sababu
yakuweka ugumu wa upatikanaji wa mikopo.

*KWANINI TUNATOA MIKOPO*
*ISIYOKUA NA RIBA?*

Mikopo hii haina riba kutokana na faida kuu mbili tuzipatazo

1. kutoka katika kampuni za simu pindi mteja anapojaza fomu na
kulipia ada kwa tigopesa au m-pesa kuna asilimia
zinazoingia katika kampuni yetu kupitia mitandao hiyo.

2. Ada zinazolipiwa na wateja wetu baada ya kujaza fomu zinaingia katika mfuko wa GLOBALCASH credit & Loan, hivyo tunafaidika kwa asilimia kubwa sana, kipato kinajitosheleza bila kuchukua riba.

Pia Kuna Fungu kutoka Umoja was ulaya Tinapata kusaidia wajsiriamali

*MTEJA ATAUPOKEA MKOPO*
*WAKE KWA MUDA GANI?*

BAADA YA KULIPA ADA NA KUJAZA FOMU .
Mikopo yetu haicheleweshwi
kwa mteja wetu atakae timiza vigezo na masharti atapatiwa mkopo wake ndani masaa 12 baada ya kujaza form na kuirejesha kwetu.

*MTEJA ANARUHUSIWA KUKOPA KUANZIA SHILINGI NGAPI?*

Mteja anaruhusiwa kuomba mkopo kuanzia Laki 5 Hadi Tsh milioni 5.

*MTEJA ATAPOKEA VIPI MKOPO WAKE BAADA YA KUJAZA FOMU NA KULIPIA ADA?*

Mteja atatakiwa kujaza namba ya M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money.
Mara baada ya
mteja kujaza fomu na kuituma na kulipia ada, atapewa taarifa za kuthibitisha kupokea fomu yake pamoja na pesa ya usajili, kisha atasubiri kupatiwa mkopo ndani ya masaa 12

*Tumeanzisha utaratibu huu wa*
*kujaza form kwa njia ya mtandao* *kulingana na sababu* *kubwa ya upungufu au ukosefu wa* *matawi yetu kutoenea katika mikoa yote Tanzania hivyo* *tumemrahisishia kila* *mtanzania ambae* *yupo mkoani na anahitaji kupata mkopo*

*KIASI CHA MKOPO, ADA NA MUDA WA MAREJESHO*

1. MKOPO WA LAKI 5 ADA YAKE NI TSH LAKI 1 UNACHUKUA MIEZI 7 KUREJESHA BILA RIBA.

2. MKOPO WA MILLION 1 ADA YAKE NI LAKI 3 UNACHUKUA MIEZI 12 AMBAPO KILA MWEZI UTAREJESHA SH. 83,500.
Miaka zaidi ya 10 iliyopita niliona kwenye mtandao taarifa mbaya za hawa 'Global'. Hivyo kuweni makini.
 
Mods naomben rudishien huu uzi maudhui yake kama ilivokua mwanzo kuna mtu alifuta kwa kukusudia #mods
 
Back
Top Bottom