GLOBAL CARE PRODUCTS waagizaji wa simu za IPHONES,SAMSUNG, HUAWEI, GOOGLEPIXEL, XIAOMI na ONEPLUS kutoka nje ya nchi kwa jumla na rejareja.

Jul 3, 2019
16
11
Njoo sasa tukuagizie simu uipendayo kati ya Iphone, Huawei, Samsung, GooglePixel, Xiaomi na OnePlus kwabei nafuu kabisa pia utajipatia na ofa moja wapo utakayo itaji mteja kati ya wireless Earphone, Kava kali kwaajili ya simu yako au Kifurushi cha Internet mwezi mzima
Pia tunaagiza kwa Bei ya Jumla na Rejareja
Tupo Magomeni Mapipa, Karibu na kituo cha Mwendokasi, Ilipo Bank ya DBT, Jengo la Rubeya Floor ya kwanza.
MAWASILIANO
0676 648 992
0767 362 849

Tunapokea oda kuanzia sasa na kwamaelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba hizo hapo Juu. Pia unaweza kufika ofisini kwetu ili kujiridhisha zaidi
WOTE MNAKARIBISHWA KUULIZA NI BUUURE KABISA
 
Vipi kuhusu usalama wa hela ya mtumaji?
 
Weka utaratibu kwa mifano sio unakimbilia tu wasiliana na sisi kwenye namba hii i.e. downpayment siku ngapi mzigo unafika rates za hizo simu ni zipi? Au ndo mnatala kila mteja awe na bei yake kwa simi yenye specs hizo hizo?
 
Vipi kuhusu usalama wa hela ya mtumaji?
kuhusu usalama ni 100% ukisha fika ofisini kuna mikataba na utaratibu kuhusu malipo na malipo yote hufanyika ndani ya ofisi na labda kwa wale wa mikoani kuna utaratibu mwingine ila kuhusu usalama hilo odoa shaka
 
Ndio maana yao mkuuu hawataki kuweka details zote hapa maana wanataka wengine wawaingize mjini kama sio chakike
Weka utaratibu kwa mifano sio unakimbilia tu wasiliana na sisi kwenye namba hii i.e. downpayment siku ngapi mzigo unafika rates za hizo simu ni zipi? Au ndo mnatala kila mteja awe na bei yake kwa simi yenye specs hizo hizo?
 
kuhusu usalama ni 100% ukisha fika ofisini kuna mikataba na utaratibu kuhusu malipo na malipo yote hufanyika ndani ya ofisi na labda kwa wale wa mikoani kuna utaratibu mwingine ila kuhusu usalama hilo odoa shaka
Inachukua mda gani kufika kama ukikamilisha malipo??
 
Weka utaratibu kwa mifano sio unakimbilia tu wasiliana na sisi kwenye namba hii i.e. downpayment siku ngapi mzigo unafika rates za hizo simu ni zipi? Au ndo mnatala kila mteja awe na bei yake kwa simi yenye specs hizo hizo?
Bei ni moja tu kwa wanunuaji wa jumla na hata wa rejareja
Kuhusu muda wa simu hizo kufika huchukua siku zisizo zidi 10
Malip nikwa awamu mbili nayo ni kabla na baada ya mzigo kufika ambapo kuna mkataba tunakukabizi mteja
Kuhusu kuweka na bei imeshindikana kutokana na simu ni nyingi na kila bei inategemea na uwezo wa simu pia sasa kwa yule anae itaji bei zote anaweza kutu cheki kwa namba ya voda hiyo whatsapp na kisha tuka mpa bei zote afanye chaguzi yeye mwenyewe na kisha aje ofisini kabisa ili aji hakikishie kua pesa yake itakua sehemu salama
 
Inachukua mda gani kufika kama ukikamilisha malipo??
Huchukua siku 10 ambapo si razima ukalipia kiasi chote ila utalipia kiasi ambacho ni asilimia kadhaa ya hiyo simu mfano kama ni Iphone 6 16GB inauzwa kwa 390,000 basi utatakiwa kwanza ulipie 280,000 na baada ya mzigo kufika ndipo utakuja kukamilisha kiasi ambacho kimebaki
 
Nunua simu weka dukani nakuja nachagua nnayotaka nalipia naondoka na simu yangu.
 
Sisi hapa ofisini tunaagiza mkuu na ndio njia rahisi hata kwetu kutokukaa na bidhaa kwa muda mrefu kwani zamani tulikua tukiagiza na kuziweka ofisini ila bado wateja wakija wanaitaji kuagiza maana tunazokua nazo huenda wateja hawaziitaji kwaiyo tunampa mteja opption yakuchagua simu yoyote aitakayo na tukamuagizia
 
Bei ni moja tu kwa wanunuaji wa jumla na hata wa rejareja
Kuhusu muda wa simu hizo kufika huchukua siku zisizo zidi 10
Malip nikwa awamu mbili nayo ni kabla na baada ya mzigo kufika ambapo kuna mkataba tunakukabizi mteja
Kuhusu kuweka na bei imeshindikana kutokana na simu ni nyingi na kila bei inategemea na uwezo wa simu pia sasa kwa yule anae itaji bei zote anaweza kutu cheki kwa namba ya voda hiyo whatsapp na kisha tuka mpa bei zote afanye chaguzi yeye mwenyewe na kisha aje ofisini kabisa ili aji hakikishie kua pesa yake itakua sehemu salama
Unachekesha kwa iyo simu zikiwa nyingi unashindwa kuweka bei!
 
Sikwamba zikiwa nyingi kuweka bei inashindikana ila kufanya promotion kiongozi kwenye social medias au sehemu yoyote haimaanishi mpaka uweke kila ktu bali una weka maelezo mafupi ili hata msomaji au msikilizaj awe na kiu ya kutaka kujua zaidi kuhusu huduma zilizopo au pengine anaweza akawa na jambo akashindwa kuuiza kwa kufikili linashindikana ila kwa wanaojua matangazo basi razima wataelewa maana
 
Back
Top Bottom