Giza tu haijawahi kutokea!

Giza tu haijawahi kutokea!

Wewe hukujua? Sii uliahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania ukakubali? Tena tunalalama huku tukiacha kazi kwenda kusikiliza mbwembe za kufunguliwa viwanda na kujengewa barabara za angani. Utajenga kiwanda bila umeme? Yaani tunaahidiwa tu huku escrow ikiokota hadi dawa, mashule, mahospitali, tembo wetu, kuuwa kilimo, nk. Tutaamka lini? Tunapanguswa machozi na chepeo, kanga, na tisheti za njano. Wale werevu zaidi wanaongezewa na chumvi juu ya kwenda kukoleza umaskini walio nao. Wasijue ni kodi yako wanadhihakiwa nazo badala ya maendeleo.
 
only in Tanzania...maajabu ya dunia hayaa..

Ni aibu kubwa sana kwa Taifa na serikali ya CCM kwa miaka hamsini wakitegemea umeme wa maji. Achana na gesi tu tuna Maeneo yenye upepo mkali sana Tanzania yangeweza kuzalisha Megawatt za kutosha kabisa, kuna makaa ya mawe mengi tu duniani hamna yangetosha kutoa umeme mwingi tu.

CCM kwa kutokuwa na vipaumbele wametufikisha hapa tulipo. Mimi nasema kwa herufi kubwa imetosha sasa uwezo wenu umefikia kikomo wapewe wengine waendeleze gurudumu la maendeleo.
 
Au kuna hujuma?? Maana hii si kawaida...!!!
 
kazi ipi, vijana wanalia mtaani viwandani wameachishwa uzalishaji hamna, kwa hasira walizo nazo watu sijui itakuwaje tarehe 25, naona kama CCm inajisumbua tu kupiga kampeni au basi tu wanakamilisha ratiba, maana kwa kweli hamna namna nyingine.
 
Inafikia sehemu nami nataka mabadiliko ila nashindwa maana mambo yoote ya nchi yetu lowasa na sumaye wamechangia pia kutuharibia nchi yetu tena wote wakiwa nyazfa za juu kabisa hivyo hawawez leta mabadiliko yoyote ni mbwembwe tu za urafi wa nadaraka bora tumepe tu pombe
 
When TANESCO and actually the Goverment is declaring failure on power supply, is it considering reducing the high tariffs it has been maliciously charging?

How could these guys think of instituting additional charges for Rural Electrification knowing it is not capable of providing services to few current customers they are maliciously exploiting?

Tafadhali sana watetezi wa haki za binadamu na wanashria tusaidieni dhidi ya hii serikali pumbavu na dharimu ya ccm.

I DONT NEED POLITICIANS AND THE CCMS TO RESPOND ON THIS. TUNAOMBA WANASHERIA WALIANGALIE NA KUTUSIMAMIA. HII SIYO HAKI. SERIKALI YA KIKWETE IMEZIDI UDHURUMATI.
 
Nakumbuka " nitatoa ajira kwa vijana" nini kutoa???? Less - remove kwahiyooooo misheni complitiiiiiiiiiii
 
kazi ipi, vijana wanalia mtaani viwandani wameachishwa uzalishaji hamna, kwa hasira walizo nazo watu sijui itakuwaje tarehe 25, naona kama CCm inajisumbua tu kupiga kampeni au basi tu wanakamilisha ratiba, maana kwa kweli hamna namna nyingine.

Isome kwa uzuri hashtag mkuu, hakuna neno kazi hapo ni kiza.
 
Piga push up kwa wingi kijana maadam siku si nyingi mutaendesha viwanda kwa nguvu za misuli/biceps.

Soma tena uzuri na kwa utuvu ulicho quote utanifaham, endeleeni kuchagua ccm muendelee kufaidi kiza bila kazi
 
only in Tanzania...maajabu ya dunia hayaa..

Ni aibu kubwa sana kwa Taifa na serikali ya CCM kwa miaka hamsini wakitegemea umeme wa maji. Achana na gesi tu tuna Maeneo yenye upepo mkali sana Tanzania yangeweza kuzalisha Megawatt za kutosha kabisa, kuna makaa ya mawe mengi tu duniani hamna yangetosha kutoa umeme mwingi tu.

CCM kwa kutokuwa na vipaumbele wametufikisha hapa tulipo. Mimi nasema kwa herufi kubwa imetosha sasa uwezo wenu umefikia kikomo wapewe wengine waendeleze gurudumu la maendeleo.

Shida ni kwamba mabwawa yote yalijengwa miaka ileee wakati watu wenye akili wapo madarakani
 
kazi ipi, vijana wanalia mtaani viwandani wameachishwa uzalishaji hamna, kwa hasira walizo nazo watu sijui itakuwaje tarehe 25, naona kama CCm inajisumbua tu kupiga kampeni au basi tu wanakamilisha ratiba, maana kwa kweli hamna namna nyingine.

Piga push up kwa wingi kijana maadam siku si nyingi mutaendesha viwanda kwa nguvu za misuli/biceps.

wakuu msomeni taratibu........mwenyewe nimeshtuka alichoandika baada ya kutaka kumquote...........

cha muhimu ni bora hatupigii kura gizani........itakuwa mchana.......
 
Back
Top Bottom