Girls you need to take it slow..

Hahaha! Ati topetope... teh! Umenikumbusha hizo enzi nakula topetope mpaka mtu haoni mdomo uko wapi!

Teh teh teh umenivunja mbavu .hiyo ni kumbukumvu nzuru coz sa hv ukilipewa utajidai wataka kisu na uma lol
 
Haha! Saivi ustaarabu kwa sana tu! Hasa tukiwa mbele ya akina afrique twajifanya hatuli topetope!.. teh!
 
Last edited by a moderator:
Keshawekwa kimada na mwanasheria mkongwe na maarufu sana maeneo ya posta pale...hawez ruhusiwa tena.

Ka vp tujifunze wote
nitake radhi kabla hapajachimbika hapa ndani na pale exim tower :A S 39::A S 39::frusty:kwanini unanipakazia kwa makusudi ohoooooooo:banplease:kabla sijaleta balaa hapa.
 
dah . . . mlichofanyiana huko mnakijua wenyewe.
Mi ngoja nisepe . . . sitaki ushahidi.
 
huyu dogo ananiletea mambo ya kihuni best,,,,,, Mentor kanigeuza grandmother wake loh
 
Last edited by a moderator:
True,ndio wanaokesha baa wakivuta shisherrrr
 
nitake radhi kabla hapajachimbika hapa ndani na pale exim tower :A S 39::A S 39::frusty:kwanini unanipakazia kwa makusudi ohoooooooo:banplease:kabla sijaleta balaa hapa.

CC; Avemaria hapo nilipo bold...😛lane:

Hivi kuna mwanasheria gani pale...aaaaargh....kantoka kidogo!!!:tape:
 
Last edited by a moderator:

Mkuu!!watu na biashara zao kaka, huo ndio muda wa biashara!!Mbona we pale kwake yule Mangi muuza duku ikifika night anafunga, hii ni kwasabab akiendelea usiku wateja hakuna watu wamelala, sa kuna biashara zingine huanza night pia
 
haha biashara za usiku
uchokozi huo me simo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…