Girls of this generation

Hahahahahahahahahahahahaha duuh kwa hio anakutambulisha kwangu kabisa na mimi nakuangalia hivi hivi tu nisikufanye jambo?
Utanifanya nini?
Kumbuka mimi kijana wako tunaongea tukiwa watupu..!! 😹😹😹

Kama unataka kushuhudia kijana wako anajua boxing lete kamdomo uone unavyochapika kama Liverpool 🤣😹😹
 
Nitakufanya jambo ambalo limemfanya mpaka Poor Brain amkimbie mshua wake
Tena usijaribu, ujue mi akili kubwa!!
Sichelewi kumchorea mkeka wa pesa mwanao akakuua tuuze nyumba yako uliyoisotea kwenye ajira miaka 40 🤣😹😹

Mi mkinga shauri yako baba mkwe..!!
Kaa kwa password, kijana wako ninaye na natamba naye..!! Hutaki kunya boga 😹😹
 
You forgot at 36 they say all men are SNOOP DOG, and marriage is optional YAANI is not a must be.
 
Vip umejiandaaje kumlea huyo bint yako ajaye Ili asipitie huo mlolongo ulioandika hapo? Au unawaongelea mabint wa watu
Nkifikilia habari ya kuwa na watoto wakike nadata kabsa kizazi hiki malezi hayana mchango juu ya tabia za watoto hususan hawa wakike wakiamua kubadilika wanabadilika tu haijalishi mzazi alilea kwa namna gani sometimes ni kuwaombea tu watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…