Girls never loose such guy with these qualities!


Mie nilivyo na huruma hivi jamani mweeh . . . unless anikosee sana kwakweli!
 
mmmmmh ngoja nitegeshe mtego wangu nimnase wa namna hiyo ila sidhani kama wanameet those criteria wa karne hii.

Nami nitegee huo mtego shosti . . . tena kama akiongeza na kasifa ka hofu ya Mungu duh hata mahali ntamlipia! LOL
 
Wapo weng sana ingawa hawana alama.yawapasa kuwa na jicho la ziada.
 
Huyo atakuwa si "Mwanaume" bali wa "Kiume".

Mwanaume haombi msamaha hovyo.

Mwanaume hana muda wa kulilia penzi.

I can't do that, hata kama nime fall kwa mtoto mkali kiasi gani.
 
huo utakuwa ubwege na sio mapenzi tena
 
sasa yale makabila yanayopenda kudundwa si umewaonea hapo? Lady doctor embu nisaidie
 
Last edited by a moderator:
Ginner mambo ya malove hayoooo
 
Last edited by a moderator:
Mzee lazima wanakusaidia kwa kiburi chako believe or not
 
Last edited by a moderator:
Kipipi huruma ikizidi hatarii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…