Habari zenyu wadau?yaani nina furaha sana kwamba shemeji yenu mpyaa ambaye tuna kama miezi mitatu ana ujauzito lakini kapewa Ex-boyfriend wake..nina furaha sana kwakua karibuni na mm nitaitwa baba hata kama wa kambo lakini si baba?mr.stepfather yaay
wewe huna uwezo wa kumpa mimba au kama sijakusoma hivi
bora hata mshika pembe huyu ni mchungajiHongera kuwa mshika mapembe
Ninao ila tuna kama miezi mitatu katika mahusiano ila mimba ni ya ex wake
Alikua nayo mamaaa
Ninao ila tuna kama miezi mitatu katika mahusiano ila mimba ni ya ex wake
Alikua nayo mamaaa