Girlfriend wangu kanitumia hela bila kumuomba

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,662
Nisiwachoshe, Ni hivi wakati nam approach mwaka 2011 tukiwa Chuo alikua na jamaa yake ambaye hatukua nae chuoni, ila kwasababu mimi ni king`ang`anizi sana ilifika mahali akanikubali, jamaa akipiga simu nikiwa nae nakaa kimya wanaongea, akikata tunaendelea kufanya yetu.

Nilivyomaliza undergraduate degree Mwaka 2012 yeye akaenda Chuo kingine (sitakitaja) kuendelea na degree couse chuo nilichokua nae yeye alikua anasoma diploma.

Ni mzuri sana kwa kweli, mzuri kila idara, nilikua nikisifiwa na watu hadi mabinti wenzie kila nilikopita nae hali iliyonifanya nimpende zaidi ukiachilia mbali na upole, ucha Mungu na ukarimu wake, kwa kifupi alikua na sifa za kuitwa mke, hata aliponishauri niliona tija kwenye ushauri wake.

Sasa wakati yupo hiko chuo alichoenda kujiendeleza tukiwa na mawasiliano mazuri tu, kuna siku yule jamaa yake alimtembelea akanishtukia kwamba natoka nae, akanipigia kwa no ya huyo msichana na kujitambulisha kisha kuniuliza ila nikakana katakata na kumwambia sisi ni marafiki na namfahamu yeye kama shem wangu, jamaa akafurahi sana!

Baada ya two days msichana akanipigia na kunishukuru huku akinishangaa kwa kumjibu jamaa vile. Siku mind couse jamaa alinitangulia kwamsichana alinieleza bayana.

Baada ya hapo tukawa na mawasiliano ya kawaida. Siku isiyo na jina msichana akanipigia analia, kumbe kagombana na jamaa vikali baada ya kumshauri jamaa wanunue kiwanja kwa hela ya mkopo aliyochukua huku jamaa akipinga na kutaka gari.

Nikamtuliza sana, akawa daily ananipigia. Huku na kule akaniomba msamaha akinisihi turudiane, kwasababu nilikua nampenda nikakubali wkt huo nikaweka spy chuoni kwao amchunguze, ikawa inasemekana ametulia ingawa anasumbuliwa sana.

Juzi kati wakati yuko field akaja kwangu, nikakaa nae for two weeks, akanitambulisha kwa mama yake ingawa ni kwa njia ya simu na mimi nikamtambulisha kwa wazee wangu live na wakampokea. Akanishauri tutafute kiwanja na yeye atachangia hela, tena tutafute mkoa nitakaopenda kuishi mimi.

Akarudi zake field, shirika alilokua anafanya field likampa afanye programme flani maalum kutokana na ufanisi wake kazini na wakamlipa laki kila siku for 10 consecutive days.

Cha kushangaza sasa, jana kanitumia laki nne bila kumuomba, nimepigwa na butwaa kwani hii sio kawaida kwa mabinti wa karne hii, eti jamani mkihusianisha na scenario niliyowapa, hapa kuna mapenzi.
 
Nisiwachoshe, ni hivi.. wkt nam approach mwaka 2011 tukiwa chuo alikua na jamaa yake ambaye hatukua nae chuoni, ila kwasababu mimi ni king`ang`anizi sana ilifika mahali akanikubali, jamaa akipiga simu nikiwa nae nakaa kimya wanaongea, akikata tunaendelea kufanya yetu!

Nilivomaliza undergraduate degree mwaka 2012 yeye akaenda chuo kingine (sitakitaja) kuendelea na degree coz chuo nilichokua nae yeye alikua anasoma diploma.

Ni mzuri sana kwa kweli, mzuri kila idara, nilikua nikisifiwa na watu hadi mabinti wenzie kila nilikopita nae hali iliyonifanya nimpende zaidi ukiachilia mbali upole, ucha Mungu na ukarimu wake, kwa kifupi alikua na sifa za kuitwa mke, hata aliponishauri niliona tija kwenye ushauri wake.

Sasa wkt yupo hiko chuo alichoenda kujiendeleza tukiwa na mawasiliano mazuri tu, kuna siku yule jamaa yake alimtembelea akanishtukia kwamba natoka nae, akanipigia kwa no ya huyo dem na kujitambulisha kisha kuniuliza ila nikakana katakata na kumwambia sisi ni marafiki na namfahamu yeye kama shem wangu, jamaa akafurahi sana!

Baada ya two days dem akanipigia na kunishukuru huku akinishangaa kwa kumjibu jamaa vile. Siku mind coz jamaa alinitangulia kwa dem na dem alinieleza bayana.

Baada ya hapo tukawa na mawasiliano ya kawaida. Siku isiyo na jina dem akanipigia analia, kumbe kagombana na jamaa vikali baada ya kumshauri jamaa wanunue kiwanja kwa hela ya mkopo aliyochukua huku jamaa akipinga na kutaka gari.

Nikamtuliza sana, akawa daily ananipigia. Huku na kule akaniomba msamaha akinisihi turudiane, kwasababu nilikua nampenda nikakubali wkt huo nikaweka spy chuoni kwao amchunguze, ikawa inasemekana ametulia ingawa anasumbuliwa sana.

Juzi kati wkt yuko field akaja kwangu, nikakaa nae for two weeks, akanitambulisha kwa mama yake ingawa ni kwa njia ya simu na mimi nikamtambulisha kwa wazee wangu live na wakampokea. Akanishauri tutafute kiwanja na yeye atachangia hela, tena tutafute mkoa nitakaopenda kuishi mimi.

Akarudi zake field, shirika alilokua anafanya field likampa afanye programme flani maalum kutokana na ufanisi wake kazini na wakamlipa laki kila siku for 10 consecutive days.

Cha kushangaza sasa, jana kanitumia laki nne bila kumuomba, nimepigwa na butwaa kwani hii sio kawaida kwa mabinti wa karne hii, eti jamani mkihusianisha na scenario niliyowapa, hapa kuna mapenzi au?
I didn't get it!.
 
Yaani we upewe papuchi usishangae, unapewa hela ndo unajifanya kushangaa... Hapana bana... Anatafuta ndoa huyo... Ila jua kwamba ukimuowa huyo mwanamke huyo jamaa mwingine ndo mchepuko wa kudumu..
 
Mkuu kupewa papuchi kawaida sana nowadays, issue ni kupewa pesa, huoni threads nyingi humu JF ni za madem wakihitaji kuhongwa na majamaa zako, sasa dem akikupa pesa lzm upigwe na butwaa! It is abnormal...
 
Nisiwachoshe, ni hivi.. wkt nam approach mwaka 2011 tukiwa chuo alikua na jamaa yake ambaye hatukua nae chuoni, ila kwasababu mimi ni king`ang`anizi sana ilifika mahali akanikubali, jamaa akipiga simu nikiwa nae nakaa kimya wanaongea, akikata tunaendelea kufanya yetu!

Nilivomaliza undergraduate degree mwaka 2012 yeye akaenda chuo kingine (sitakitaja) kuendelea na degree coz chuo nilichokua nae yeye alikua anasoma diploma.

Ni mzuri sana kwa kweli, mzuri kila idara, nilikua nikisifiwa na watu hadi mabinti wenzie kila nilikopita nae hali iliyonifanya nimpende zaidi ukiachilia mbali upole, ucha Mungu na ukarimu wake, kwa kifupi alikua na sifa za kuitwa mke, hata aliponishauri niliona tija kwenye ushauri wake.

Sasa wkt yupo hiko chuo alichoenda kujiendeleza tukiwa na mawasiliano mazuri tu, kuna siku yule jamaa yake alimtembelea akanishtukia kwamba natoka nae, akanipigia kwa no ya huyo dem na kujitambulisha kisha kuniuliza ila nikakana katakata na kumwambia sisi ni marafiki na namfahamu yeye kama shem wangu, jamaa akafurahi sana!

Baada ya two days dem akanipigia na kunishukuru huku akinishangaa kwa kumjibu jamaa vile. Siku mind coz jamaa alinitangulia kwa dem na dem alinieleza bayana.

Baada ya hapo tukawa na mawasiliano ya kawaida. Siku isiyo na jina dem akanipigia analia, kumbe kagombana na jamaa vikali baada ya kumshauri jamaa wanunue kiwanja kwa hela ya mkopo aliyochukua huku jamaa akipinga na kutaka gari.

Nikamtuliza sana, akawa daily ananipigia. Huku na kule akaniomba msamaha akinisihi turudiane, kwasababu nilikua nampenda nikakubali wkt huo nikaweka spy chuoni kwao amchunguze, ikawa inasemekana ametulia ingawa anasumbuliwa sana.

Juzi kati wkt yuko field akaja kwangu, nikakaa nae for two weeks, akanitambulisha kwa mama yake ingawa ni kwa njia ya simu na mimi nikamtambulisha kwa wazee wangu live na wakampokea. Akanishauri tutafute kiwanja na yeye atachangia hela, tena tutafute mkoa nitakaopenda kuishi mimi.

Akarudi zake field, shirika alilokua anafanya field likampa afanye programme flani maalum kutokana na ufanisi wake kazini na wakamlipa laki kila siku for 10 consecutive days.

Cha kushangaza sasa, jana kanitumia laki nne bila kumuomba, nimepigwa na butwaa kwani hii sio kawaida kwa mabinti wa karne hii, eti jamani mkihusianisha na scenario niliyowapa, hapa kuna mapenzi au?

Inaonekana wakati unamtongoza ulipoteza sana, sasa ndio anarudisha robo ya gharama zako. So jitahidi umkamue kamue zifike ata nusu hasara uliyopoteza!
 
Hahaa hapana mkuu wala sikupoteza coz sote tulikua wanafunzi bado.
 
Ile ya kiwanja ili uongezee?
 
Back
Top Bottom