Girlfriend wangu kanitongozea rafiki yake.

mkuu kuwa na msimamo usije ukatamani huku ukataka kwenda kule ukakosa kote tamaa huwa zipo tuu baki pale sahihi mkuu, usije ingia mtego rahisi hivyo
 
Mwanamke anayekupenda mkuu hawezi kukufanyia ulichofanyiwa na mpenzi wako

Hapo naona mapenzi yenu yameisha kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…