Ukweli mchungu
Kwan wewe unataka kujua nin tuanzie hapoHabari za wakati huu!! Wadau wa jf. Nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi..... Leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa,tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.
Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake nikamnyang'anya Kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake Tena Kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza Nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu Kwani simu ni yako?
Ananifnya niwaze pengine Kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?
Basi mpaka hapo umeshaprove MkuuIn short Sina Imani naye kivile
Kumbe tafuta uko na Imani nayeIn short Sina Imani naye kivile
Unataka mpaka ukapigwe😇🔨 ndo uelewe eehBado ndo maana nataka niangalie simu yake Ili ni prove
uyo usimwite girl friend wangu bali kuanzia leo muite........... ...."girl friend wetu"Habari za wakati huu!
Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.
Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake. Nikamnyang'anya kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake tena kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu kwani simu ni yako?
Ananifanya niwaze pengine kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?