Girl tormented by her Facebook ‘lover’ kills self

Girl tormented by her Facebook ‘lover’ kills self

Kiluuj

MTOTO MWENYEWE ANAONEKANA MJUVI WA MAMBO...
mmH MUZUNGU ALIFAIDI TIGOYE
 
Last edited by a moderator:
RIP Mrembo.
Warembo wengine mjifunze hapa, mnadandia dandia watu kisa rangi nyeupe.
 
Akili yake mbovu kama ningekuwa mimi ningemuacha atume harafu ningesema zakutengeneza
 
Naona wengi hapa ni lawama lakini haya mambo yanatokea sana.. Ni kama vile wanafunzi kupata mimba na mkuu wa nchi kusema ni vimbelevimbele..! Wenzetu walioendelea wametambua kuna matatizo kama haya na wana-encourage vijana na haswa wa kike kwenda kwenye vituo vya ushauri pindi wanapokutana na matatizo kama haya.. Huyu binti angekuwa na uhakika kuna mahali anaweza kwenda na kuongea bila kujisikia aibu au kuhukumiwa, nadhani asingefikia uamuzi huo..
Naamini huko aliko akiona comments zinazotolewa hapa, ataona alichukua maamuzi mazuri kujiua..

RIP beautiful young princess.. Naamini waliokusababisha haya watapata malipo yao, kama sio hapa duniani basi itakuwa akhera..
 
Waafrika hua wana-feel weak sana kwa wazungu, ili mradi mtu ni mzungu tu basi mtoto wa watu ananyenyekea, hadi kumtumia picha za uchi. She is very stupid no wonder hadi kufikia hatua ya kujiua. If only they knew how ordinary these white guys are.. Umaskini shida sana.
 
Naona kiingereza kinawachenga sana wabongo,huyu binti baadae alikutana 'live' na huyo mzungu mjini mombasa na wakalala wote hotelini na kisha akafanyiwa sexual assault ikiwa na maana kuwa alibakwa bila ridhaa yake au aliingiliwa kinyume na maumbile ndo maana hakuweza kutembea vizuri ni ktk kufanyiwa vitendo hivyo ndo akapigwa na picha akiwa uchi kama alivyozaliwa,yule binti akarudi nairobi ambako alianza kumtafuta yule mzungu ili amtibie lakini njia zote za mawasiliano zilifungwa huku akitishiwa na yule mzungu kuwa picha zote za uchi angeziweka mtandaoni dunia nzima izione,hapo ndo akapagawa na kuamua kujiua,nimejaribu kufafanua kifupi tu.

Duuh pole kwa kazi ya kutranslate, sikusoma kipengele cha kingereza, i thought the translation was more than enough to the story. Siku nyingine mjue kuweka summary za kueleweka sio nusu nusu

have a good day
 
Google picha kibao za utupu kwa nini usigoogle ukamtumia au ukampa link aangalie anavyotaka .. Pole yake na alale kwa amani

ILA WANAUME NINYI NI WABAYA SOMETIMES
 
Unaanzaje kumtumia mpenzi wako picha?

Hata kama ni mume siku kikinuka ndio haya yanatokea

Usimuamini kila mwanaume
 
Msichana kajitokeza anadai hajafa!!!!
12079523_658044237669314_1765555454417170538_n.jpg
 
Naona kiingereza kinawachenga sana wabongo,huyu binti baadae alikutana 'live' na huyo mzungu mjini mombasa na wakalala wote hotelini na kisha akafanyiwa sexual assault ikiwa na maana kuwa alibakwa bila ridhaa yake au aliingiliwa kinyume na maumbile ndo maana hakuweza kutembea vizuri ni ktk kufanyiwa vitendo hivyo ndo akapigwa na picha akiwa uchi kama alivyozaliwa,yule binti akarudi nairobi ambako alianza kumtafuta yule mzungu ili amtibie lakini njia zote za mawasiliano zilifungwa huku akitishiwa na yule mzungu kuwa picha zote za uchi angeziweka mtandaoni dunia nzima izione,hapo ndo akapagawa na kuamua kujiua,nimejaribu kufafanua kifupi tu.

Ni sawa mkuu. Tatizo tuko wavivu kusoma mwanzo hadi mwisho tunawahi kucoment. RIP mdada
 
Kilimpata nini hadi kuanza kutuma picha zake full za utupu mtandaoni,
Muwe mnatuma nusunusu jamani

Ushamba wa kuwa na boyfriend wa kizungu na ni kujirahisisha tuu, hawa dada zetu ngozi nyeusi ni too cheap to white men.
 
Huu ujinga huu.....vipi utume picha za utupu kwa mtu online hata mume wangu bado sijatuma. Hizi ndoto za kuolewa na wazungu zinatucost kweli
Wacha ziwacost maana hakuna namna nyingine coz most of you are very cheap
 
Jamani tuache ulimbukeni, Kisa ni Mjerumani, unamruhusu akupige picha za uchi, ujui anazipeleka wapi? Wengine wana majarida huko ya udaku wanaenda kuzichapisha huko. Sasa kakubaka na kukutishia kwa hilo. Jamani, maadili ndio msingi wa kila kitu!
 
1. Sio mrembo wa kitanzania, huyu ni mkenya aliyezaliwa Tanzania.
2. Hajafa.
 
Ni mkenya kazaliwa Tanzania, ila kwa vile habari ni negative, wakenya wanamlazimisha awe mtanzania....Ila hao hao wanasema Obama ni mkenya....:embarrassed:

Mkuu Mimi mwenyewe nilishangaa kwa Habari nilivyoisoma japokua hawakutaja uraia wake ,ila angekua mtanzania kusingekua na sababu ya kusema kwenye hiyo habari kazaliwa Tanzania
 
Back
Top Bottom