Gift gani inafaa kumpa mpenz wakati huu wa msimu wa ckukuu?( x-mass & new yr 2010)

mnywee mkungurusu (viagra ya kienyeji) kisha shinda nae uifanyie kazi hiyo dawa (nadhani tumeelewane)
 
"Let us go forth into the field; let us lodge in the villages. Let us get up early to the vineyards; let us see if the vine flourish, whether the tender grape appear, and the pomegranates bud forth: there will I give thee my loves."
~ Song of Solomon 7:10-12
 
Kama wewe ni DESIGNER kama mimi mtengenezee CARD nzuri pia
BURN CD nyimbo azipendazo design CD COVER ambazo ziwe na PICS zake!!
Zawadi cimpo sana lakini.........!!

Jaman mi nawaza nawazua lakn jb cpati? Nimpe zawad gan mpenz wangu(ke) ajisikie furaha? Nisaidien jaman
 
mpe biblia na mwambie Yesu kazaliwa kwa ajili yake na anampenda sana!
Unaweza kubisha ila ni zawadi kubwa kuliko zote duniani na hata mbinguni (Yesu=neno)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom