Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
Jaman mi nawaza nawazua lakn jb cpati? Nimpe zawad gan mpenz wangu(ke) ajisikie furaha? Nisaidien jaman
Sure Mkuu, hakuna zawadi nzuri kama wewe mwenyewezawadi nzuri uwe naye karibu sana kipindi chote cha sikukuu!usiende bar peke yako
Nilionesha(ke) nilikuwa mkeKaka ni mpenzi wa aina gani?
Mke
Mchumba
au?
Nilionesha(ke) nilikuwa mke
perfume..
hereni ndogo za dhahabu au gold...
mtoe out for romantic dinner.:embarrassed:
Kama uwezo unaruhusu mnunulie gari dogo rangi ya pink au nyekundu.
perfume..
hereni ndogo za dhahabu au gold...
mtoe out for romantic dinner.:embarrassed:
msome kwanza, anapendelea nini zaidi katika laifustaili lake. kama kanapenda kula sana kanunulie chipsi kuku tu. kama kanapenda mziki kakanunulie CD ya marehem remmy ongala.