Habari zenu wakuu naimani my wazima. Nilikuwa naomba mwenye link ya video ya nyimbo hiyo hapo juu, maana nimehangaika kuitafuta mitandaoni na YouTube zipo fupifupi na Mimi nilikuwa naitaka ile ya long version.
Natanguliza shukrani zangu wakuu.