Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,287
Sio lazima uwe accurate kwenye kila kipengere. Ukitiki vipengere 8 kati ya 10 bado utakua kwenye uelekeo sahihiMaisha yamenirudisha katika hii phase kila kitu kimekuwa kama ulivyosema ila hili la kutokuwa na mwanamke wa kupunguza uzito hili ndo bado mpaka sasa linanitatiza najiona siwez
Nina miez 6 sasa kwenye nyakati hizi
Ni mwaka mpya new energyTajiri ,happy new year
Mkuu niseme ukweli hawa mashangazi wamefanya maisha yangu yawe very proud..We kijana, kila mada lazima uibuke na hoja ya mishangazi, una mishangazi ya kila rangi.
Pamoja na kua unaumwa bado mishangazi huiachi.
Kuna mwenzako kaweka....
Mwaka mpya huu mkuu lazima tuwe na positive thinking aisee..kijana wa hovyo unawaza mashangazi tu π
Kuna wengine unakuta wanakuwa wakali sana sijui wanakuwa na shida Gani aiseeπππNasikiaga jf kuna mashangazi tu ambao wapo kwenye stage ya kutafuta retirement plan. Ingawa sina uthibitisho wa hilo lakini kuna namna huwa naona ni narrative ya kweli. Kwa sababu ukigusa vipengere vya bikira, body count na single mother, jinsia KE wengi hapa jf wanakua wakali kweli kweli.
Na hela watakupaMwaka mpya huu mkuu lazima tuwe na positive thinking aisee..
Kingine mkuu ni kuwa mashangazi ni watu positivity sana aiseee an uwezi amini wanasema mwaka huu nifanye juu chini niwe na kiwanja
Hela napewa ila ni ndogo sana yaan ya kula.tuu mkuu...Na hela watakupa
Dah pole mkuuHela napewa ila ni ndogo sana yaan ya kula.tuu mkuu...
Sema ukiwapa dozi aiseeeee anaweza toa mahela mengi
Pole ya nn hapo na wewe π«΅π«΅πππDah pole mkuu
Ya kuhongwaPole ya nn hapo na wewe π«΅π«΅πππ
We jamaa jau sana πππYa kuhongwa
Hongera mkuu. Nami nimeanza Leo mchana.Mapema sana siwezi kukosa madini kama hayo , na Jana ndio nimeanza rasmi Ghost mode ningekuwa nagonga nyeto pia ningeacha ili niwe siriaz kwenye Ghost phase
Shekhe na wewe ulikuwa unakwea mnazi ππMapema sana siwezi kukosa madini kama hayo , na Jana ndio nimeanza rasmi Ghost mode ningekuwa nagonga nyeto pia ningeacha ili niwe siriaz kwenye Ghost phase
ππdaahhNikiwa hiko kipindi nikakutana na ghost aunt...
Yaani ni full misuguano afu kwa sasa kuna huyu ghost aunt nae anafagilia sana harakati anataka anipeleke south africa