Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,173
- 1,488
Nishacheza part 1 ,2Usisahau kucheza na THE LAST OF US PT 2
Kadi ni 400k nadhani originalGTX 1050 ni Shilingi ngapi mkuu?
Usisahau kucheza na THE LAST OF US PT 2
Last of us 1 & 2 umecheza?Wakuu kwema poleni mihangaiko ya kutafuta ugali wetu wa Kila siku
Basi Nimepata Kalikizo nkaona isiwe kesi Wacha nivute game nicheze kwenye laptop yangu (gaming PC GTX 1050)
Nikaweka uncharted ,na game nyingine nyingi tu ikiwemo ghost of Tsushima ila Bado sijaona game Kali kuzidi hili ghost upande asian game katana game ni very realistic haswa
Hivyo kama wewe ni mdau wa gaming basi hili game usilikose
Best option ni rx 580 around 300kGTX 1050 ni Shilingi ngapi mkuu?
Game gumu hilo.πCheza na SEKIRO:Shadow die twice. Ukiiwez hii game bas utamrahisishia kaz JIN SAKAI
Hili game nilicheza kidogo nikalifuta kwenye pcGame gumu hilo.π
Kama ubisoft walivyochemsha kwa Far cry 6. Game baya sana game play yake.Hili game nilicheza kidogo nikalifuta kwenye pc
Nimeimaliza kam mara 3 hv, na bado ngumu π πGame gumu hilo.π
Kama si mzoefu wa gaming, SEKIRO ni moto wa kuotea mbalHili game nilicheza kidogo nikalifuta kwenye pc
Exactly π― mkuuKama si mzoefu wa gaming, SEKIRO ni moto wa kuotea mbal