Ghorofa la Veta !

Hii ipo kijiji cha Malendegu karibia Somanga barabara ya Dar-Mtwara
 
Dah afadhali maana Kila sehemu urais urais huku kunafaa kumpumzika!hakika umejeruhi mbavu zangu!
 
Dah afadhali maana Kila sehemu urais urais huku kunafaa kumpumzika!hakika umejeruhi mbavu zangu!

Karibu ndugu.........hata mie kumenichosha hayo mambo ya Urais. Tulazimishwa tuu.....kila mtu mwanzisha mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…