Ghetto la Bernard Morrison ni hatari

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Hivi ndivyo wenzetu wanavyojali wachezaji wao...

Ona ghetto la mchezaji wao wa kimataifa linavyo fanana.

Yanga SC mna mengi sana ya kujifunza...kutoka kwa Boss Mo Dewji.

IMG_20211108_211219.jpg

IMG_20211108_211222.jpg
 
kwa akili yake ya ushabiki maandazi ndio kaona hilo ni gheto kali loh? kuna shida sana mahali. kiufupi umasikini ndio unatufanya tuwe na akili mbovumbovu , ndiomaana tunaishia kukaa chini mashuleni huku mbunge anatembelea V8 ya mil 200, na maji pia tunakunywa ya kisima pamoja na ng'ombe huku mbunge anakunywa ya chupa ,na kuna wengine hata wanayaogea ya chupa
 
Soma katikati ya maneno.

Usikurupuke.

Rudia kusoma tena.
 
Back
Top Bottom