Polisi ya Thailand imetumia gesi ya kutowa machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya waandamanaji Jumapili(01.12.2013) wakati walipokuwa wakijaribu kuvamia makao makuu ya serikali kumpinduwa Waziri Mkuu Yingluck Shinawatra.
Ghasia hizo ni mfulululizo wa mfarakano wa kiraia katika nchi hiyo ya kifalme tokea magenarali wenye kuupendelea ufalme kumpinduwa tajiri mkubwa wa nchi hiyo aliekuja kuwa waziri mkuu Thaksin Shinawatra miaka saba iliopita.
....Vijana tumevurugwa.....Donia nzima watu sasa wana hamsha tu......SIASA KAZI
HABARI KAMILI