Gharama kwa hospital ya private kwa normal deliverance sidhani kama inazidi Tshs 70,000.00 na kwa operation ni kati ya Tshs 150,000.00 - 350,000.00 kulingana na hospital uliyokwenda. Government ni chini kidogo kuliko private, mf mimi wife alijifungua ALMC kwa Tshs 350,000.00 kama operation cost na overall cost ilikuwa ni Tshs 516,000.00 lakini ingekuwa government ingeshuka kidogo!