Gharama za umeme tishio

Gharama za umeme tishio

sulle my nem

Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
44
Reaction score
35
Lisha ya serikal kupga marufuku kupanda kwa bei za nishat hasa umeme imebainika kupuuzwa kwa kaul hiyo ya serikali baada ya kuonekana kupanda kwa bei ya nishat hiyo kimya kimya bila kuwataarifu wananchi....hiyo imedhihirika leo hii baada ya mkaz mmoja kununua umeme wa elfu kumi na tano na kuambulia units 21 na kukatwa zaid ya shiling elfu nane kama garama kama ionekanavyo kwenye taarifa za muhamala hapo chini
8e392c97f5835fca220f2cd3ee4f0f83.jpg
 
Na

Nahisi mita yako ina deni inakata nusu kwa nusu kwahiyo umenunua umeme wa 7500 ndo unapata unit 21
 
We jamaa sijui mita yako ina tatizo gani? Mm elfu 10 napata unit 28, sasa inakuwaje wewe elfu 15 upate unit 21?
 
Lisha ya serikal kupga marufuku kupanda kwa bei za nishat hasa umeme imebainika kupuuzwa kwa kaul hiyo ya serikali baada ya kuonekana kupanda kwa bei ya nishat hiyo kimya kimya bila kuwataarifu wananchi....hiyo imedhihirika leo hii baada ya mkaz mmoja kununua umeme wa elfu kumi na tano na kuambulia units 21 na kukatwa zaid ya shiling elfu nane kama garama kama ionekanavyo kwenye taarifa za muhamala hapo chini
8e392c97f5835fca220f2cd3ee4f0f83.jpg

Linganisha na manunuzi yaliyopita kabla ya tangazo la kuanza bei mpya.
 
Kwa hali ya kawaida umeme wa 10,000/- ni units 28. Kuna tatizo nenda tanesco.
 
Kuna tatizo la kiufundi hapo ungekuwa na akili timamu ungejiridhisha kwanza kabla ya kukimbilia JF kuleta habari zisizo na kichwa wala miguu.Umeme ukipanda kila mtu atajua
 
Back
Top Bottom