Habari zenu wadau,
Kidogo nilikuwa nahitaji mchango wenu wadau kuhusu gharama za ujenzi kwa nyumba ya vyumba vitatu Dar es Salaam kwa kuzingatia bei za vifaa vya ujenzi kwa miaka ya karibuni. Bei hiyo isihusishe gharama za kiwanja.
NB: Kwa milioni 12 nyumba ya vyumba vitatu unaweza kuijenga na kuifikisha wapi?
Shukrani.