Gharama za ujenzi wa chumba kimoja

Gharama za ujenzi wa chumba kimoja

Wakuu naomba mchanganuo was gharama ya chuma kimoja na choo cha ndani. Ukubwa wa chumba mita 3 kwa 3.
Ukubwa wa choo mita 1 kwa 0.5. Milango miwili was kuingia chumbani na was kuingia toilet.
Madirisha mawili moja kubwa LA chumbani na moja dogo la chooni.
Finishing ni simple tiles.
 
Choo cha 0.5m unaingiaje kamanda? Hata ukisema uingie kiubavu ubavu hupiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba mchanganuo was gharama ya chuma kimoja na choo cha ndani. Ukubwa wa chumba mita 3 kwa 3.
Ukubwa wa choo mita 1 kwa 0.5. Milango miwili was kuingia chumbani na was kuingia toilet.
Madirisha mawili moja kubwa LA chumbani na moja dogo la chooni.
Finishing ni simple tiles.
Aina gani ya tofali unatumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako ngumu coz gharama za ujenzi utegemea finishing
 
Nipatie makadirio ya wastani kama finishing ni tiles za kawaida na ceiling ya kawaida.
Madirisha na milango ni ya kawaida ya chuma.
 
Hahaha Huu Uzi umenichekesha kinoma Aisee hivi kwann umeamua kutumia Verified account Kijana wa Geor Dev
 
Sihitaji kuwa feki. Niliona nifufue huu uzi, labda mtoa mada atapata chochote kwa faida ya wengi.
Mpaka sasa hakuna aliyetoa majibu ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom