Gharama za Travel Insurance

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
871
Reaction score
885
Nahitaji kusafiri kwenda nchI kadhaa kwa siku 18.
Nitasafiri kwa ndege na kwa ndege na kwa meli.
Nimeambiwa niandae Travel Insurance.
Hii ikoje, umuhimu wake, inakopatikana na gharama zake.
Karibuni mnijuze.
 
Nilikata Phoenix Posta mpya, safari ya wiki mbili ilikuwa dola 18. Nenda makampuni ya bima waambie unahitaji bima ya safari. Bima ilikuwa lazima ili kusafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…