Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,324
- 152,136
Tuliambiwa moja ya sababu za kuzuia TBC kurusha live shughuli za vikao vya Bunge ilikuwa ni kupunguza gharama kwa lengo la kubana matumizi lakini kwa haya yanayoendelea karibu kila siku sidhani kama lengo hili limetimia /linatimia.
Kama kweli kuna kiasi kimeokolewa, watakuwa teyari kukitangaza hadharani ili tuone tumeokoa kiasi gani?
CAG tunaomba mwakani katika taarifa yako utayoitoa utupe pia tathimini ya gharama hizi zilizookolewa.