silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,618
- 2,373
tuache kulalamika sana, tukutane na wabunge wetu 2015 majimboni watakuja tu hasa hawa wa chama tawala coz wanautumia wingi wao bungeni kutuumiza walala hoi,jamaa wametusaliti na sisi tuwakatae.
like like like like like umeongea hoja mkuu, lakini ubaya wa wanaccm ni kuwa wanasahu adha yote wakipewa mlo mmoja tu let alone kanga na vitenge