Aahhahahaaa andika urithi mapema usijesema hukuambiwa eehehehhe π
π
π
.
Aliyekung'ata sikio hakukwambia kuwa ni zaidi ya yanayopatikana Tanga.
Unasingwa kwa asali, unaogeshwa kutuliza munkari halafu unaandaliwa chakula ili usijitetee ulikuwa na njaa maana shughuli itayofata ni zaidi ya kulima kwa jembe la mkono πππ.
Aahahaha naanza kucheka kabla sijaandika kilichotiririka kichwani...πππ
Kuna ile wanaume wa kinyamwezi wanalima kifua wazi, jembe linanyanyuliwa juu mithili ya paa la nyumba, (wanyamwezi ni warefu) halafu likitua ardhini linanyanyuka na kipande cha ardhi huku wanaimba au wanacheza, sasa huo muondoko ndo wanavyosindiliaga mizigo wakishenyenta, breki placenta....πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ.
Anza mazoezi mapema usishindwe kazi π.