johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Habari wana jukwaa,
Nina mpango Easter (Pasaka) hii nitembelee mbuga ya Saadani National Park.
Naomba nijue gharama kwa wahusika kwa member yeyote wa humu aliyewahi kwenda kiingilio, chakula, malazi na usafiri.
Kama wanaruhusu gari private nina gari hizi nisaidieni ambayo inaweza kubaliwa pale (Altezza, Ist na vitz)
Nawasilisha.