it depends km utanunua material ya kusomea au unahitaji kufanya mtihani only, km unalipia mwenyewe kwa kadi ya VISA/Master card ni $245 ila kama unalipia through exam center normally they add about $20-40 margin hapo bado hujawa na materials ya kusomea, ila kama unasomea toka training center hapo itabidi ukaulizie mwenyewe au angalia sites like techno brain wanatoa pia.