kiba binladen
New Member
- Oct 9, 2018
- 2
- 3
maana tumesikia zimeanza kubeba mbuzi .Mkuu ni za abiria au za mizigo?
Mkuu ni za abiria au za mizigo?
cheni uzushi wa kijinga 1.5 ndiyo nini hamna stori nyingine mnakalia za kufikirika ?
Hadi sasa zimetengeneza bilioni 46 sasa utaona kama zinaweza kujigaramia ama vip kazi kwakoje matengenezo yanayoenda kufanywa fedha inatoka katika kipato cha ndege tangu ianze kazi au ni fungu la pembeni?/
kama ni bilion 48 kwa ndege moja mpaka sasa matengenezo ndege mbili ni bil 13 maanayake 6b kila moja basi haina shida faida ipo tuHadi sasa zimetengeneza bilioni 46 sasa utaona kama zinaweza kujigaramia ama vip kazi kwako
Kweni hata CAG ni wakufikirika?!a
cheni uzushi wa kijinga 1.5 ndiyo nini hamna stori nyingine mnakalia za kufikirika ?
Kwahiyo CAG alisema uongo?a
cheni uzushi wa kijinga 1.5 ndiyo nini hamna stori nyingine mnakalia za kufikirika ?
alipoulizwa si alisema hakuna hela imepotea au hamfuatilii issues? inaonejkana wewe ni mpinzani kupinga kila kituKweni hata CAG ni wakufikirika?!
alishagakanusha hakuna hela iliyopoteaKwahiyo CAG alisema uongo?
Hata kama ningekua mimi ukiniuliza vile nakanusha! Kwanza hakusema fedha imepotea...alishagakanusha hakuna hela iliyopotea
Hata wewe ukikaziwa macho mbele ya lundo la Maafsaa Usalama na Kila mmoja ndani ya suti yake nyeusi kuna chuma kimeshiba risasi ungesemaje?!alipoulizwa si alisema hakuna hela imepotea au hamfuatilii issues? inaonejkana wewe ni mpinzani kupinga kila kitu
Tupe gharama za manunuzi ya ndege hizo 2 zinazo kwenda kwenye matengenezo ya sh. biloni 13.9Ndege zote 6 zilizonunuliwa na serikali (Bombardier 3, Airbus 2 na Boeing 1) zimegharimu jumla ya TZS bilioni 817, ambapo kwa pamoja ndege hizo zina uwezo wa kubeba abiria 598 kwa wakati mmoja. Ndege 2 ziliwasili nchini 2016, nyingine 3 mwaka 2018, huku ya mwisho imewasili 2019.
View attachment 993822
Kwan bombardier moja imenunuliwa pesa ngapi? na kila baada ya muda gani zinafanyiwa matengenezo?ili tujue ni kwa muda gani tutafanya biashara turudishe pesa yetu ya kodi ndiyo tuanze mchakato wakupata faida?ila hiyo pesa ingewekezwa kwenye viwanda na kilimo tungefika mbali mno.kama ni bilion 48 kwa ndege moja mpaka sasa matengenezo ndege mbili ni bil 13 maanayake 6b kila moja basi haina shida faida ipo tu