Gharama za ndege mpya za ATCL

Gharama za ndege mpya za ATCL

kiba binladen

New Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
2
Reaction score
3
Ndege zote 6 zilizonunuliwa na serikali (Bombardier 3, Airbus 2 na Boeing 1) zimegharimu jumla ya TZS bilioni 817, ambapo kwa pamoja ndege hizo zina uwezo wa kubeba abiria 598 kwa wakati mmoja. Ndege 2 ziliwasili nchini 2016, nyingine 3 mwaka 2018, huku ya mwisho imewasili 2019.

497F7632-886B-4E8F-9373-EC0513941D2D.jpeg
 
alipoulizwa si alisema hakuna hela imepotea au hamfuatilii issues? inaonejkana wewe ni mpinzani kupinga kila kitu
Hata wewe ukikaziwa macho mbele ya lundo la Maafsaa Usalama na Kila mmoja ndani ya suti yake nyeusi kuna chuma kimeshiba risasi ungesemaje?!

Wewe huwajui wenyeji wa kanda ya Ziwa ungesikia "Msindikizeni huyu Gaidi akapumzike"
 
Asa watu kama Emirates wanaomiliki ndege 500?!
Kama ndege 6 gharama yake ni bilioni 800, ndege 500 je?
Daah aisee safari ni ndefu mno ila tutafika tu.
 
Ndege zote 6 zilizonunuliwa na serikali (Bombardier 3, Airbus 2 na Boeing 1) zimegharimu jumla ya TZS bilioni 817, ambapo kwa pamoja ndege hizo zina uwezo wa kubeba abiria 598 kwa wakati mmoja. Ndege 2 ziliwasili nchini 2016, nyingine 3 mwaka 2018, huku ya mwisho imewasili 2019.

View attachment 993822
Tupe gharama za manunuzi ya ndege hizo 2 zinazo kwenda kwenye matengenezo ya sh. biloni 13.9
 
kama ni bilion 48 kwa ndege moja mpaka sasa matengenezo ndege mbili ni bil 13 maanayake 6b kila moja basi haina shida faida ipo tu
Kwan bombardier moja imenunuliwa pesa ngapi? na kila baada ya muda gani zinafanyiwa matengenezo?ili tujue ni kwa muda gani tutafanya biashara turudishe pesa yetu ya kodi ndiyo tuanze mchakato wakupata faida?ila hiyo pesa ingewekezwa kwenye viwanda na kilimo tungefika mbali mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom