Nathamin sana mchango wako huu mkuu, shukran, lkn sasa mbna naona km sebule itakuwa kubwa mno, hata toilet 4*7ft mbna naikuta km ni kubwa sana mkuu, big for nothing, hii temporary house ambayo in future inaweza iwe boys quota. Naona km itakuw kubwa mno, au niaje mkuu, msingi utantumia mawe, then tofali za kuta zitakuw za kuchoma