Gharama za MRI zikoje

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,553
Nina tatizo la maumivu upande wa kulia wa tumbo, nahitaji kwenda hospitali nikafanyiwe kipimo cha MRI. Kwa wajuzi Gharama zake zikoje?, na naweza kuipata huduma hiyo hospitali ipi bila usumbufu? NB nipo Dar es salam
 
Mkuu nadhani kwenye 400000 au tano ngoja waamke utapata majibu
 
Nina tatizo la maumivu upande wa kulia wa tumbo, nahitaji kwenda hospitali nikafanyiwe kipimo cha MRI. Kwa wajuzi Gharama zake zikoje?, na naweza kuipata huduma hiyo hospitali ipi bila usumbufu? NB nipo Dar es salam

Hicho kipimo cha MRI umeshauriwa na Daktari au wewe wapenda iwe hivyo?
 
Back
Top Bottom